Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Nilipoanza kuhakikisha kila mchana iendayo kwa Mungu lazima ugali na fulu uwepo mezani.Vichwa vinne vyote vinaniangalia mimi tu.Majukumu yatakufanya ujue umekua hii line sijui ya mbongo fleva gani hii?
 
Ndo alivyokupanga yule mentor wako?? 🤣🤣🤣
Mwambie familia tumewakataaaaaa!!!
Mpo km ruba hamjui kukataliwa eee?!!
Kwa heshima na taathima ya Beibi T tunaleta mahari kwa Ba mkubwa maana BeibiT huyu hapa amejinyosha ki partable mwenyewe😀😂
Angekuwa hana usingizi angekuandika through ID hii🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Huyo sio mstaarabu ni mshenzi wahedi, haogopi kutongoza avatar ya marehemu.??

Humu sio tyuu kutongozana bro.!!
Na miti wanapigana, meeting point yao mcity 🤣🤣🤣🤣
Ila mimi ninakoelekea ntapigwa mjue 🤭🤭
Daah basi sio poa, mie nikajua tu watu wanazinguana humu, mie nakujiunga kwangu kote humu tangu 2014 hakuna mtu naemfahamu wa humu, kiukwel itakua ushamba haujanitoka. Na unaanzaje kutongoza mtu usiemjua?. Au kutongozwa namtu usiemjua na mnapanga kabisa muonane mfahamiane?.

Aisee itakua Samaki samaki Mlimani city, maana istanbul pale huwa wanakaa wachache sana. Sasa itabid na mimi na wewe tufahamiane😃
 
Back
Top Bottom