Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Nilipoanza kuhakikisha kila mchana iendayo kwa Mungu lazima ugali na fulu uwepo mezani.Vichwa vinne vyote vinaniangalia mimi tu.Majukumu yatakufanya ujue umekua hii line sijui ya mbongo fleva gani hii?
Hpngera Mkuu hapa kweli umekua mwanangu
 
Kwa heshima na taathima ya Beibi T tunaleta mahari kwa Ba mkubwa maana BeibiT huyu hapa amejinyosha ki partable mwenyeweπŸ˜€πŸ˜‚
Angekuwa hana usingizi angekuandika through ID hiiπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Tayana-wog kwan umempa nini huyu.??
Mbona kachizika na ww mapema sana 🀣🀣🀣
Tunakoelekea tutaamka tutakuta kashusha uzi nakwambia, mahaba yashamlevya
 
Nilijiona nmekua baada ya
1:kutimiza miaka 35
2:Ongezeko la shikamoo
3:First born kutimiza miaka minane
4: Ongezeko la watu wanaonitegemea kifedha,ushauri
 
Kwa heshima na taathima ya Beibi T tunaleta mahari kwa Ba mkubwa maana BeibiT huyu hapa amejinyosha ki partable mwenyeweπŸ˜€πŸ˜‚
Angekuwa hana usingizi angekuandika through ID hiiπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Bro pambania penzi lako, usikubali kuyumbishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…