Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Kweli 🀣🀣🀣🀣
Basi nakufungulia pm njoo kwa raha zako jirani
Madame B yule kiboko nampenda sana huwa ananikosha sana Le madame
❀️❀️β™₯️β™₯️
Nawapenda sana na nyie wadogo wangu.
β™₯️❀️❀️❀️ Lamomy na Leejay49 na Shunie ❀️β™₯️β™₯️β™₯️ na wengineo zote
 
Hivi kweli JF kunawatu wanatongozana?. Kuna kipindi nilikua nimeweka Profile picture ya Binti wa NIT(Akwilina) aliepigwa risasi na mapolisi wa Magufuli, kuna jama mmoja mstarabu sana Kwa kumsoma akanifata PM anataka anitongoze nikamuambia Bro mie mwanaume hio picha tuu.πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…