Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

Haya maneno namuelezea sana make wangu kuwa mtu ukijiheshimu ni kujali utu wako na kuputiq ww Mimi naipata faida humo
 
Haya maneno namuelezea sana make wangu kuwa mtu ukijiheshimu ni kujali utu wako na kuputiq ww Mimi naipata faida humo
Exactly.. mimi nashangaa mtu anapo cheat kwa kukomoa au anajificha ficha ku pretennd. We ukiamua kufanya fanya tu maaana hasara ni kwako, utawaficha wengine ila huwezi kimbia ukweli kuwa uko hiv au vile.
 

Ni kweli mkuu Fanton Mahal
Hongera kwa kuwa hivyo
 
Ni kweli kikubwa ni tamaa ya pesa na kutaka maisha ya juu ya uwezo
 
Mwingine anapenda tu umalaya Yaani ni sex fantasy yake , Hii hutokana na mazingira yaliyomkuza mtu pia , though amezoea kuona marafiki ndugu ni wahuni wahuni so nayeye ana adopt huo mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…