Ulikabiliana vipi na suala la upotevu wa nywele (kipara) kwa mara ya kwanza

Ulikabiliana vipi na suala la upotevu wa nywele (kipara) kwa mara ya kwanza

Jamani mimi ndio kwanza nipo floor ya tatu kwa umri, ila nakabiliwa na janga la upara kwa kasi kubwa sana.

Naina nikinyoa kipara kaama nachukiza hivi, nimejaribu kunyoa za kuota /unga/ low cut lakini bado.

Mwenzangu ulikabiliana na tatizi kwa namna gani?
Kipindi hicho nagundua nina kipara aisee ilinipa stress kidogo siyo sana ukizingatia nina ndonga halafu ninyoe kipara lkn siku hizi nishazoea ingawa hazijasha zote
 
Back
Top Bottom