Ulikabiliana vipi na suala la upotevu wa nywele (kipara) kwa mara ya kwanza

Ulikabiliana vipi na suala la upotevu wa nywele (kipara) kwa mara ya kwanza

Tutafute pesa kipara sio ugonjwa unapigwa PRP unakua kijana tena laki 5 tu unahudhuria mara 3 jumla 1.5m unarud ujana kula mbususu za chuo tena hospital zipo hapahapa dar es salaam
 
mbegu zimebeba zinc na protein kwa wingi ambazo ndiyo chanzo cha nywele imara na kuota kwa haraka.

𝐍𝐲𝐰𝐞𝐥𝐞 𝐡𝐮𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐩𝐫𝐨𝐭𝐢𝐧𝐢 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢 𝐢𝐥𝐢 𝐤𝐮𝐨𝐭𝐚 𝐡𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐮𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐡𝐮𝐧𝐚 𝐩𝐫𝐨𝐭𝐢𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐬𝐡𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐧𝐲𝐰𝐞𝐥𝐞 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐲𝐞𝐩𝐞𝐬𝐢 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐠𝐨𝐤𝐚
Mbona mtu mwenye upara huwa kwa pembeni nywele zinakuwa na afya tu kwenye kichwa hikohiko ?

Kwamba hiyo zinc haipo sehemu moja ya kichwa na sehemu nyingine ipo ?
 
Jamani mimi ndio kwanza nipo floor ya tatu kwa umri, ila nakabiliwa na janga la upara kwa kasi kubwa sana.

Naina nikinyoa kipara kaama nachukiza hivi, nimejaribu kunyoa za kuota /unga/ low cut lakini bado.

Mwenzangu ulikabiliana na tatizi kwa namna gani?
Kapandikize nywele Uturuki huwa ni cheap hadi kw dollar 1500 hadi 2,000 au nyoa upara tu na baki na machine ile ya duara ya kuvibrate ya kupitisha kichwani kila siku kidogo ili usihangaike na unequal growth na nywele. Naongea km mtu mw kiurazi kidogo
 
ni cha urithi? kama si cha urithi eleza hapa, zingatia mlo kamili. Paka kitunguu maji ukichanganya na mafuta ya mnyonyo, epuka stress, usimwage mbegu zako za kiume. Lala mapema mwezi mmoja utaanza kuona matokeo. For info come PM
Hili tatizo la wengi yaani mwanzo nlikuwa nahisi soo ila sasa nimeshazoea licha ya unywele wangu wa kisomali lkn ndio hvyo kichwa kimeshaingia dosari.

Upara unakera unakuondolea confidence.

Ila nliona sitopata mademu Cha ajabu wengine wanakuja wenyewe.

Mkuu kuacha usimwage mbegu ni jambo gumu mno mbinu hiyo nliijaribu ila haikuzaa matunda.

Kiukweli naweza kusema kwa sisi wanaume wenye upara tuna high sexual desire, labda hii ndio sababu hupelekea upara, maana kumwagia mbegu mara kwa mara hupelekea upara.

Yaani nywele hazijaisha kabisa ila Huwa napata ndogo ndogo ili tu nijiskie comfortable.

Hata sijui kwanini vijana wa siku hizi huota uwalaza mapema tena early 20's , sasa hivi Nina 30+ ila uwalaza bado upo
 
Kapandikize nywele Uturuki huwa ni cheap hadi kw dollar 1500 hadi 2,000 au nyoa upara tu na baki na machine ile ya duara ya kuvibrate ya kupitisha kichwani kila siku kidogo ili usihangaike na unequal growth na nywele. Naongea km mtu mw kiurazi kidogo
Hii ya kupandikiza ila longtime effect ?

Je ukipandikiza ndio basi tena au inabidi kurenew kila baada ya muda fulani ?
 
Kapandikize nywele Uturuki huwa ni cheap hadi kw dollar 1500 hadi 2,000 au nyoa upara tu na baki na machine ile ya duara ya kuvibrate ya kupitisha kichwani kila siku kidogo ili usihangaike na unequal growth na nywele. Naongea km mtu mw kiurazi kidogo
Uturuki mbali sana hapahapa bongo wanatibia bila kupandikza tena salama 100% hakuna chemical yeyote zaidi ya damu Yako tu sema ndo 500000-600000 Kwa Kila mwezi kwa miezi 3 unarud kuwa kijana na unywele tele
 
Swali zuri kwa nini zinyonyoke utosini tu?
Si ndio hapo sasa..

Mimi huwa nadhani huwenda kuna physiological error ipo sanasana nadhani ni blood flow kwenda pale juu ya kichwa inakuwa ngumu...

Kwa sababu ili damu ifike pale juu ya utosi maana yake msukumo uwe mzuri na mishipa ya damu iwe na afya..

Kitu ninachoona kwa watu wenye upara ni kuwa ile ngozi ya utosini inakuwa imetaiti na kubana,nyembamba sana kiasi kwamba hata kama ile mishipa nayo inajifinya,so blood flow nayo lazima ipunguee...

Kwa nini ngozi ya utosi ijibane,hilo ni swala lingine la kujiulizaa
 
Kuna dawa ya kutootesha nywele tena, yaani unabaki kipara na kuepuka usumbufu wa kunyoa!
 
sikuwahi fahamu kama babu yangu alikuwa na upara, kilipo anza kutoka kwa wanafamilia wangu na mm mwenyewe ndio siku mzee wangu alipo cheka na kusema mmemfata babu yenu
 
Jamani mimi ndio kwanza nipo floor ya tatu kwa umri, ila nakabiliwa na janga la upara kwa kasi kubwa sana.

Naina nikinyoa kipara kaama nachukiza hivi, nimejaribu kunyoa za kuota /unga/ low cut lakini bado.

Mwenzangu ulikabiliana na tatizi kwa namna gani?
Mr alikua na kipara, kuna siku nipo saloon Dodoma nikawa nasuka nalalamika nywele zangu hazioti yule mama akanipa mafuta akasema yanasaidia nywele kuota nikajaribu kumpa Mr. Nywele zimeota kabisa ingawa mwanzoni zilikua nyepesi now ni ngumu.

Saloon ipo pale Shoppers Dom.
 
Sio kila mtu anaishi Dom, Wewe taja jina la hayo Mafuta au piga picha kopo/kichupa.
 
Jamani mimi ndio kwanza nipo floor ya tatu kwa umri, ila nakabiliwa na janga la upara kwa kasi kubwa sana.

Naina nikinyoa kipara kaama nachukiza hivi, nimejaribu kunyoa za kuota /unga/ low cut lakini bado.

Mwenzangu ulikabiliana na tatizi kwa namna gani?
Camilo Cienfuegos
Tumia sana vyakula vya protean, omega three na vitamins kama hupendi zinavyopotea kwa kasi.
Punguza mivyakula ya kakaanga kaanga na wanga nasukari zote za kusindikwa.

Mimi naona inanisaidia hasa nilipo ongeza chia seeds katika maji ya kunywa ...

Japo matokeo utayaona after months.
 
Back
Top Bottom