Ulikabiliana vipi na suala la upotevu wa nywele (kipara) kwa mara ya kwanza

Kipara ni issue ya kurithi na mtindo wa MAISHA .

Waweza kutumia mafuta ya Mnyonyo na kula Sana parachichi.

As well Avoid sex and mastabesheni
At least 1-3Moths

As well stress .

Ukiona hazioti ujue ni genetics hivyo itakubidi kukubaliana na hiyo hali
 
ni cha urithi? kama si cha urithi eleza hapa, zingatia mlo kamili. Paka kitunguu maji ukichanganya na mafuta ya mnyonyo, epuka stress, usimwage mbegu zako za kiume. Lala mapema mwezi mmoja utaanza kuona matokeo. For info come PM
Kwann asi mwage mbegu?
 
Huu si ushirikina?
 
Kwann asi mwage mbegu?
mbegu zimebeba zinc na protein kwa wingi ambazo ndiyo chanzo cha nywele imara na kuota kwa haraka.

𝐍𝐲𝐰𝐞𝐥𝐞 𝐡𝐮𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐩𝐫𝐨𝐭𝐢𝐧𝐢 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢 𝐢𝐥𝐢 𝐤𝐮𝐨𝐭𝐚 𝐡𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐮𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐡𝐮𝐧𝐚 𝐩𝐫𝐨𝐭𝐢𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐬𝐡𝐚 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐧𝐲𝐰𝐞𝐥𝐞 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐲𝐞𝐩𝐞𝐬𝐢 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐠𝐨𝐤𝐚
 
Hizi stori zenu ni za vijiweni sijui mnavitoaga wapi, basi walooa wote wangekua na vipara
 
Back
Top Bottom