Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,277
Utajua tu muda sio mrefuComment yangu haijaongelea "kuzuia"
Shikamoo babu
Utajua tu muda sio mrefuComment yangu haijaongelea "kuzuia"
Kabsa lakn kwa wanawake hapo kutokana na kutokua na testosterone hormone kama mwanaume stress ni kichocheo tuChanzo cha uhakika cha kipara ni TESTOSTERONE.
Kama ni stress hata wanawake wanazo, mbona hawaoti vipara?
hapa bado sijafanya utafitiKabsa lakn kwa wanawake hapo kutokana na kutokua na testosterone hormone kama mwanaume stress ni kichocheo tu
Okay sawa, nitaweka reminder kwa Calendar.Utajua tu muda sio mrefu
Shikamoo babu
DaahKwa kubeba magunia ya mkaa kichwani.