Ulikabiliana vipi na suala la upotevu wa nywele (kipara) kwa mara ya kwanza

Mbona kichwa cha mtu chenye upara kuna sehemu za pembeni nywele huwa zina afya vizuri tu,kama ishu ni protini mbona hizo sehemu za pembeni za kichwa zina nywele zenye afya ?
Kwamba protini inaenda pembeni tu na sio kwemye utosi ambapo upara upo?
Au shida ni protini haijui wapi inaenda ?
Kama shIda ni hiyo huoni kama hata hiyo protini unayoshauri watu wale itaenda pembeni ya kichwa tu na sio sehemu kusudiwa yenye upara?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Mniache sasa ntakufa jamani, mbavu zinauma 😂😂😂😂

Mjomba angu Extrovert njoo uniokoe mimi 😂😂😂😂😂😂😂😂

Cc: Mbaga Jr The Icebreaker
 
Jamani mimi ndio kwanza nipo floor ya tatu kwa umri, ila nakabiliwa na janga la upara kwa kasi kubwa sana.

Naina nikinyoa kipara kaama nachukiza hivi, nimejaribu kunyoa za kuota /unga/ low cut lakini bado.

Mwenzangu ulikabiliana na tatizi kwa namna gani?
Unawajua taasisi moja inaitwa Tawiri wanadili na mambo ya utafiti na mavitu mengine uko sijui sana ila wanayo tiba yako very natural nilikua na rafiki yangu alikua ni babu na umri wetu 30’s akaenda ofisi akachukua nikama mafuta flan ivi sasa hivi anae rasta anapambana na wazungu uko serengeti wacheki wa google utaona and its very true bro amin kabisa
 
Mbona kichwa cha mtu chenye upara kuna sehemu za pembeni nywele huwa zina afya vizuri tu,kama ishu ni protini mbona hizo sehemu za pembeni za kichwa zina nywele zenye afya ?
Kwamba protini inaenda pembeni tu na sio kwemye utosi ambapo upara upo?
Au shida ni protini haijui wapi inaenda ?
Kama shIda ni hiyo huoni kama hata hiyo protini unayoshauri watu wale itaenda pembeni ya kichwa tu na sio sehemu kusudiwa yenye upara?

Upo sahihi kwa level ya uelewa ulionao juu ya sisue husika ila ukienda deep utagundua unapokwama.
Mbona kichwa cha mtu chenye upara kuna sehemu za pembeni nywele huwa zina afya vizuri tu,kama ishu ni protini mbona hizo sehemu za pembeni za kichwa zina nywele zenye afya ?
Kwamba protini inaenda pembeni tu na sio kwemye utosi ambapo upara upo?
Au shida ni protini haijui wapi inaenda ?
Kama shIda ni hiyo huoni kama hata hiyo protini unayoshauri watu wale itaenda pembeni ya kichwa tu na sio sehemu kusudiwa yenye upara?
Mishima ilo dhoofu ndo hupelekea kipara .. ko unatakiwa kuipa nguvu. .. ni hivyo tu.
 
Jamani mimi ndio kwanza nipo floor ya tatu kwa umri, ila nakabiliwa na janga la upara kwa kasi kubwa sana.

Naina nikinyoa kipara kaama nachukiza hivi, nimejaribu kunyoa za kuota /unga/ low cut lakini bado.

Mwenzangu ulikabiliana na tatizi kwa namna gani?
Kwa kubeba magunia ya mkaa kichwani.
 
ni cha urithi? kama si cha urithi eleza hapa, zingatia mlo kamili. Paka kitunguu maji ukichanganya na mafuta ya mnyonyo, epuka stress, usimwage mbegu zako za kiume. Lala mapema mwezi mmoja utaanza kuona matokeo. For info come PM
Na mvi je? Mi nashangaa napewa shkamoo nyingi mama3, kumbe mvi zinajitokeza. Pisi zinanipa shkamoo badala ya kunipa papuchi.
Dawa pls
 
Back
Top Bottom