Ulikabiliana vipi na suala la upotevu wa nywele (kipara) kwa mara ya kwanza

Ulikabiliana vipi na suala la upotevu wa nywele (kipara) kwa mara ya kwanza

Camilo Cienfuegos
Tumia sana vyakula vya protean, omega three na vitamins kama hupendi zinavyopotea kwa kasi.
Punguza mivyakula ya kakaanga kaanga na wanga nasukari zote za kusindikwa.

Mimi naona inanisaidia hasa nilipo ongeza chia seeds katika maji ya kunywa ...

Japo matokeo utayaona after months.
Mbona kichwa cha mtu chenye upara kuna sehemu za pembeni nywele huwa zina afya vizuri tu,kama ishu ni protini mbona hizo sehemu za pembeni za kichwa zina nywele zenye afya ?
Kwamba protini inaenda pembeni tu na sio kwemye utosi ambapo upara upo?
Au shida ni protini haijui wapi inaenda ?
Kama shIda ni hiyo huoni kama hata hiyo protini unayoshauri watu wale itaenda pembeni ya kichwa tu na sio sehemu kusudiwa yenye upara?
 
Wanatia nywele za bandia au inakuwaje wakuu?
Wanakutoa damu wanatengenesha makundi yote ya damu Kwa mashine ya centrifuge hapo kunakua na white blood cells, platelets, red blood cells na plasma

Sasa hapo wanachukua hiyo plasma wanaweka kwenye sindano wanakuchoma choma kwenye kipara mara nyingi nyingi sana kulingana na kipara ukubwa wake.

Baada ya mwezi unaenda tena wanafanya hvohvo Kwa miezi mitatu mfululizo hapo ndugu unarud ujana

Utapewa na dawa nyingne zinazohitaji na tatzo linakua kwishenei bila kwenda uturuki
 
Mbona kichwa cha mtu chenye upara kuna sehemu za pembeni nywele huwa zina afya vizuri tu,kama ishu ni protini mbona hizo sehemu za pembeni za kichwa zina nywele zenye afya ?
Kwamba protini inaenda pembeni tu na sio kwemye utosi ambapo upara upo?
Au shida ni protini haijui wapi inaenda ?
Kama shIda ni hiyo huoni kama hata hiyo protini unayoshauri watu wale itaenda pembeni ya kichwa tu na sio sehemu kusudiwa yenye upara?
Kipara ni kurithi, testosterone hormone kuwa nyingi zaidi, stress na mtindo wa maisha lkn hizo mbili za kwanza ndo asilimia 85% chanzo cha kipara

Watu wenye vipara wana high sexual desire kwasabab ya testosterone hormone nyingi hivo sio kimoja chali nawengi ndo wapiga nyeto wenyewe maana hamu zao muda mwingne ni kubwa na malisho madogo hivo uchukua sheria mkononi

Ndo ikaja hii theory ya nyeto inasababisha kipara kumbe ni vice versa
 
Wanakutoa damu wanatengenesha makundi yote ya damu Kwa mashine ya centrifuge hapo kunakua na white blood cells, platelets, red blood cells na plasma

Sasa hapo wanachukua hiyo plasma wanaweka kwenye sindano wanakuchoma choma kwenye kipara mara nyingi nyingi sana kulingana na kipara ukubwa wake.

Baada ya mwezi unaenda tena wanafanya hvohvo Kwa miezi mitatu mfululizo hapo ndugu unarud ujana

Utapewa na dawa nyingne zinazohitaji na tatzo linakua kwishenei bila kwenda uturuki
Hiyo ni sawa na ile ya kutumia dermastamp kumbe.

Ina hiyo yao nadhani ni the best kuliko vyote.

JE GHARAMA ZAO ZIKOJE KWA HIYO MIEZI MITATU YOTE ?
 
Jamani mimi ndio kwanza nipo floor ya tatu kwa umri, ila nakabiliwa na janga la upara kwa kasi kubwa sana.

Naina nikinyoa kipara kaama nachukiza hivi, nimejaribu kunyoa za kuota /unga/ low cut lakini bado.

Mwenzangu ulikabiliana na tatizi kwa namna gani?
😀😀Pambana uwe daktari au Professor uendane na kipala!, jikubali tu mkuu na ukubali Muonekano wako..
 
Mr alikua na kipara, kuna siku nipo saloon Dodoma nikawa nasuka nalalamika nywele zangu hazioti yule mama akanipa mafuta akasema yanasaidia nywele kuota nikajaribu kumpa Mr. Nywele zimeota kabisa ingawa mwanzoni zilikua nyepesi now ni ngumu.

Saloon ipo pale Shoppers Dom.
Hayo mafuta yanaitwaje
 
Back
Top Bottom