Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Side effect zipo piaKuna kupandikiza lakini ni gharama sana
HazikosekaniSide effect zipo pia
Kipindi hicho nagundua nina kipara aisee ilinipa stress kidogo siyo sana ukizingatia nina ndonga halafu ninyoe kipara lkn siku hizi nishazoea ingawa hazijasha zoteJamani mimi ndio kwanza nipo floor ya tatu kwa umri, ila nakabiliwa na janga la upara kwa kasi kubwa sana.
Naina nikinyoa kipara kaama nachukiza hivi, nimejaribu kunyoa za kuota /unga/ low cut lakini bado.
Mwenzangu ulikabiliana na tatizi kwa namna gani?
DIVISHENI FOO what's upraha ya kipara uwe na HOGO LA JANG'OMBE.
Una kipara halafu una kibamia ni maumivu pro max!!
Unakuwa kama DUME-DADA.
Cc: Mbaga Jr