Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?

Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?

Status
Not open for further replies.
sio poa nakumbuka mwez uliopta tulipgwa ban ya pamoja naona m nlipgwa mwanaukome mwanang ukapgwa ya kawaida tu week ukarud ila nkawa naona kila week unakula ban 😂 m nmeamua kuwa mpole tu
Yule mpuuzi aliyefanya nipigwe ban ya wiki sasa jana usiku baada ya ban kuisha nikamfata tena kumwambia ban imeisha hvy tuendelee ety akanishitak tena jana hy hy nikapigwa ban nyngn ya wiki ila nikaenda Twitter nikawaambia JF sio fair wanachonifanyia then asubuhi hii naona ban wameitoa

Screenshot_20240606-012702.png
 
Nimepigwa sana Ban hapa JF na kosa langu almost ni la aina hiyo hiyo tu ila sitaacha,
Mtu akinitukana au kutumia lugha ya hovyo kwangu,nampokea kama alivyo kuja ili tuende sawa.
Humu JF ukiwa wote mnatukanana afu mwenzako akawahi kukushtaki bc ww pekee yako ndio unapigwa ban afu huyo mpuuzi mwngn anaachwa utadhani ulikuwa unatukana pekee yako.
 
Hayo mashtaka huwa yanapelekwa wapi? Yanapelekwaje?? Yaani unamshtaki vipi mtu??
Kwenye comment au mada ya mtu utaona kuna kipengele kinaitwa report upande wa mkono wa kushoto hapo ndipo unapoandika kosa la huyo mhusika kama amekutukana unasema amekutukana n.k
 
Yule mpuuzi aliyefanya nipigwe ban ya wiki sasa jana usiku baada ya ban kuisha nikamfata tena kumwambia ban imeisha hvy tuendelee ety akanishitak tena jana hy hy nikapigwa ban nyngn ya wiki ila nikaenda Twitter nikawaambia JF sio fair wanachonifanyia then asubuhi hii naona ban wameitoa

View attachment 3010008
😂😂 mods wanaleta ukiritimba sana aisee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom