Duuh hio ni one of perspectives from another angle , je umemaanisha kupunguza maana na thamani ya mtoto au umewaza tu kuhusu bahati nasibu kwa aina ya matarajio yake? May be yes may be no, tumeshuhudia wengi wakipewa nyumba mitaji na wako mbali, kuna mkataa chema pia hupata kibaya what if kama yule tajiri alikuwa mwema mwenye changamoto ndani ya ndoa yake. Mungu ni wa ajabu katika upana wake