Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Mkuu hiyo ni kawaida sana mkuu kwa swala la mboga ni nzuri tu ukiwa unfreezer special kwa ajili hyo ila ni nzuri km utaifadhi km ni samaki au nyama uiweke viungo kabisa as long as wanazidi kukaa na viungo ndy vinazidi kukolea.
Khaaa mbona mnasema kawaida hv hili jambo ni serious kweli mbna kama nyie hampo seriously mkuu
 
Hisa Ni investment nzurii ikiwa utawekeza in long run
 
Nishawahi kwenda kufuturu kwa marehemu mzee Zakaria(murzah)..parking tu ni zaidi ya 1b tshs,nyumba ndo usiseme..muda wote pesa zinaletwa kwenye makapu ya sokoni..mzee ana mtu wake maalum bank fulani wa kumuhudumia haondoki mpaka ruksa ya mzee,yule mzee alikua tajiri haswaaa..Rip mzee Zakaria
 
Naskia Sir πŸ’― ana nyumba mbweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…