Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Unakutana na car park ina magari hadi unashika mdomo, yote 100m+ na yapo kama matano hivi, unangalia mazingira unasema kweli watu wanaishi vizuri, ukiingia ndani kuna sebule tatu-nne hivi, unaambiwa come this side tuongee, huko tuwaache wanaoangalia 📺, its a place for talks/serious convo.

Huwa nasema nikimiliki kitu ya vile nitashiba mda wote.
 
Mi nilijua pesa ipo,pale tulipopita mageti matatu ndo ufike kwenye main house.Na cha kushangaza kabsa nilikuta lifti kwenye nyumba binafsi ya ghorofa moja..Mengine yaliyomo ndani nikisimulia mtapata depression maana ni kijana mdogo sana huezi amini kwa kweli watu wanaishi..God punish poverty in my life😤
 
Kuna ofisi moja nilikuwa nafanya kazi miaka kma mitatu nyuma, nlikuwa cashier mm na mwenzng.

Akaja mteja mmoja wkt huo mm nilikuwa namuhudumia mteja mwengine mwenzng akampokea uyo jamaa, sasa jamaa bill yake ilikuwa inasoma milion mbili na jamaa alitoa card ya bank kulipia.

Kikichotokea mwnnzg akakosea kuandika zile digits baada yakuandika two milions jamaa akakosea akaandika milion mia mbili na akaprint na risit na akampa jamaa nae akaondoka wote bila kujua.

Mziki ukaja wkt wakufunga hesabu tukashangaa mbona mauzo yapo juu kuliko kawaida huku na huku ndiyo kugundua error ilofanyika huwez amini ilipita wiki nzima na jamaa hakushtuka kabisa uzuri kwny risit kuna option yakuandika namba ya mteja ndiyo anapigiwa anaambiwa yan hata yeye hana hbr wala kushtuka ikabidi kampuni imuombe samahan tu aje na jamaa alikuja kurud badae sna nkasema kuna watu wana mbumba aisee milion mia mbili inatolewa na bdo mtu hashtuki.
Hy bill yake alilipia nini au ilikuwa n muamala wa nn?
 
Wakuu,

Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu

Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣

Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo nyumbani

Hata mimi ningeshtuka kwa kweli 😀

Wewe ni nini uliona kwa Watu ukajua pesa ipo?
 
Ujue mpaka Leo bado ni ngumu kuvimliki hivo assume mabibo mtu aweke🤣jakuzi
Kama ulaya na marekani kulikua mbali Sana in terms of infrastructure & technology.

Vitu Kama washing machine,bomba la mvua linalo toa maji moto na baridi bafuni, vitu Kama oven, fridge,Tv, jakuzi, pasi ya umeme yaan ilikua nadra Sana miaka ya 89's kumiliki ivyo vitu.
Wachache Sana ndio walikua na hiyo access
 
Back
Top Bottom