Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Wewe ni muongoMzee wangu alitokea familia ya kimaskini Sana.
Babu alikuaga na ngo'mbe wengi Sanaa
Kimiujiza miujiza miaka ya 60's watoto wa Babu kwa miaka tofauti tofauti walikua wanafaulu darasa la saba na kuchaguliwa shule za SERIKALI
Walisomaga zamani na wakabahatika kupata kazi nzurii serikalini na wote wamekua watumishi mpaka Kustaafu kwao utumishi serikalini.
Kwenye tumbo la mama tupo wa 5 hakuna hata mtoto mmoja ambae Hana degree wa mwisho ndio kamaliza hapo Udsm mwaka huu
NB.
Kuna familia ukizaliwa unakua mwenye bahati na chance kubwa ya kuwa na option mbali mbali za kutimiza ndoto/goals E.t.c
Mtindi ni mlo ulioozaSema mi mtu anaekula mtindi namuona katili sana..
Wale watu wanaweza kujinyonga
Boss kuna vitu sio kwamba ni ushua ila ni life style ya kawaida ila ni hali zetu za maisha tu, unajua bongo hapa kuna watu wanaamin mtu hata kumiliki gari na mjengo tyr anaonekana don ila ni aina ya maisha ya wengi wanayopitia tu.Khaaa mbona mnasema kawaida hv hili jambo ni serious kweli mbna kama nyie hampo seriously mkuu
😂😂😂😂😂😂kwenye kazi zangu za nguvu kwa nguvu kipindi nnikiwa bongo niliona mengi. kuna mshua nilikuta wana housemaid mzungu wamemtoa slovenia analipwa dola 3000 kwa mwezi. yule mzee katembo ana matusi. AC zimefungwa mpaka chooni.
Nikikuta car park ina kiyyoyozi ndaniWakuu,
Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu
Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣
Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo nyumbani
Hata mimi ningeshtuka kwa kweli 😀
Wewe ni nini uliona kwa Watu ukajua pesa ipo?
Chokoza wote ila yule atakupigaAu ndo lile li EVELYN?
Afu unalitetemekeaga mpaka nakuonea huruma.
Hivi una shida gani baby kutetemekea mizoga kama ile?
Wee ERoni soma hapo kwa sautiMtindi ni mlo uliooza
Daaah mybe mkuu ila mi mtu akifikia hiyo level naona kama tayari hviBoss kuna vitu sio kwamba ni ushua ila ni life style ya kawaida ila ni hali zetu za maisha tu, unajua bongo hapa kuna watu wanaamin mtu hata kumiliki gari na mjengi tyr anaonekana don ila ni aina ya maisha ya wengi wanayopitia tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Safi sana mbishi
Tapeli huyoMiaka kama 10 ilopita nikiwa ndo nimeanza kazi za benk na nipo customer service. Alikuja father mmoja ambaye alikuwa na kiasi kikubwa kwenye account ambacho aliniambia kilitokana na kuuza hisa zake.
sasa katika kupiga piga story za hapa na pale akanieleza kuwa hobby yake kubwa siku za weekend huwa ni kwenda kuendesha zile ndege ndogo ndogo.. Nikajua hapa huyu pesa ipo nyingi
Aliniachiaga na business card na sikuweza mtafuta tena
We acha tu 😂Hizi circle zetu kwakweli tujitathmini
Bwana we! Nimelia sana 🤣Watu wengi tuna circle za kuonewa huruma 😂
Unaliaje hunioni?Bwana we! Nimelia sana 🤣
Hehehehee yaani ntamnyuka mpaka aseme hiki nini!Chokoza wote ila yule atakupiga
Ana futi ngapi?Wifi yako ni mrefu mno, mtaani wanamuita TOLU.
Wewe chizi sijui umewaza niniWakuu,
Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu
Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣
Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo nyumbani
Hata mimi ningeshtuka kwa kweli 😀
Wewe ni nini uliona kwa Watu ukajua pesa ipo?
😀😀😀 acha tu.Unaliaje hunioni?
Ngoja akilala nimpime mkuu. Mbishi na mtata mno akiwa macho suala la kumpima ni linaweza leta shida.Ana futi ngapi?