Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

nilienda kwa rafiki yangu masaki nikakuta kila mtu amepewa milion 5 kwa ajili ya kufanya shoping ya sikukuu ya eid ilikuwa ni 2017 wkati huo mimi nimenunuliwa nguo za mtumba
Mmh bila shaka ulikuwa unahuzunika ndani kwa ndani,hukupata walau connection?,vpi ulitokaje out hiyo siku ya Eid?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…