implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Mmh bila shaka ulikuwa unahuzunika ndani kwa ndani,hukupata walau connection?,vpi ulitokaje out hiyo siku ya Eid?nilienda kwa rafiki yangu masaki nikakuta kila mtu amepewa milion 5 kwa ajili ya kufanya shoping ya sikukuu ya eid ilikuwa ni 2017 wkati huo mimi nimenunuliwa nguo za mtumba