Huyo alikudanganya mkuu, kwanza EWURA hawawezi kutoa kibali na pia OSHA hawawezi wakatoa kibali cha kuweka fuel station kwenye makazi ya mtu.Wakuu,
Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu
Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣
Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo nyumbani
Hata mimi ningeshtuka kwa kweli 😀
Wewe ni nini uliona kwa Watu ukajua pesa ipo?
Maisha hatufanani..kabisa nimekuja kuona tena kitu kama hicho kwa boss wangu mmoja mzungu nae anapaka wake nyumbani wanabudget kubwa kama laki 4 kwa mwezi isee mapaka manene hadi kutembea yanashindwa..Dah kwahy paka wamekufa na mamilioni 😭 dah nmelia sana mpaka mangi ameamua kunikopesha unga mana alikuwa anakataa hapa.
Mkuu kwa level niliyo nayo mie naweza kusema yes...Mbona hata kwangu hayo mazaga yapo na sio mambo safi kiivyo?
Mososi sio kipimo cha utajiri boss
Eeh yaani acha kabisa..😂😂😂 Ukashangaa zaidi paka kua na majina kama watu.
unashanga mil 5. baresa kila mwez pesa ya matumiz kila mtoto analamba m 500nilienda kwa rafiki yangu masaki nikakuta kila mtu amepewa milion 5 kwa ajili ya kufanya shoping ya sikukuu ya eid ilikuwa ni 2017 wkati huo mimi nimenunuliwa nguo za mtumba
Hamna mkuu,mwisho wa mwezi tunafanya shopping then tunatulia..hakuna cha mambo safi. Misosi ni vitu vya kawaida tu bossMkuu kwa level niliyo nayo mie naweza kusema yes...
Kama wee hom pako hivo mkuu hongera sana umejipata aiseee
kwa familia ya mzee bakhresa hapo sawaunashanga mil 5. baresa kila mwez pesa ya matumiz kila mtoto analamba m 500
Kama vipi Tuwachenchie Tu ama Tuwaachie nchi yetu..😂😂😂😂😂😂😂😂 Daaah baba malcom...
Siku ngapi...
Na bado unaishi.. hyo ni bombi, zombi, bush kama rambo
Pole Sana mkuunilienda kwa rafiki yangu masaki nikakuta kila mtu amepewa milion 5 kwa ajili ya kufanya shoping ya sikukuu ya eid ilikuwa ni 2017 wkati huo mimi nimenunuliwa nguo za mtumba
Daaah tatizo kukuelewesha ngumu...Hamna mkuu,mwisho wa mwezi tunafanya shopping then tunatulia..hakuna cha mambo safi. Misosi ni vitu vya kawaida tu boss
Sasa wewe ndio rafiki wa mimi damu damu kitendo cha kuelewa hapo na ukajibu inaosha ni jinsi gani upo bright kichwani kwako...Kama vipi Tuwachenchie Tu ama Tuwaachie nchi yetu..
Anasikika sana Redioni boss mkuu Mamaake...
Baba marcom apa, Unjuuu...
Kwa mama huko..!Nilikua naendesha gari ya mizigo nikapata kazi kupeleka mavyuma fulani hivi mbweni, sikwenda na mtu ila nilipewa namba ya simu nikaambiwa ukifika maeneo fulani piga simu kuna mtu atakufuata.
Mie huyoooo nilipofika eneo la tukio nikapiga simu full kufoka nimeshafika muda mrefu hapa, dk 0 ikaja V8 nyeusi tiiii. Ikaja kuni block kwa pembeni, jamaa akashusha kioo akasema nifuate.
Asee kila kona tunayokunja ni mijengo ya maana, mitaa mizuriii halafu pako kimyaaa, tukafika mpaka nje ya mjengo mmoja geti kuubwa, lile lango likafunguliwa kwa rimoti tukazama ndani.
Asee ile kuingia ndani nikawa nashangaa shangaa tu hata sielewi, lilikua bonge la jumba, swimming za maana halafu juu ya paa kuna parking ya helicopter, mataa ya barabarani yapo ndani.
Kuna jamaa nahisi aliona shauku yangu, akaniambia "zunguka zunguka uone nyumba ya rais wako ili uende ukasimulie na wenzio" nilizunguka kidogo tu ila maeneo mengi yalikua na makatazo kupita.(nyumba ilikua haijaisha ila ilikua inatisha aseee)
Kumbe ndo ww ulikuja hapo kwetu ukawa unatembeatembea ukapotea tukaanza kukutafuta 😂Nilikua naendesha gari ya mizigo nikapata kazi kupeleka mavyuma fulani hivi mbweni, sikwenda na mtu ila nilipewa namba ya simu nikaambiwa ukifika maeneo fulani piga simu kuna mtu atakufuata.
Mie huyoooo nilipofika eneo la tukio nikapiga simu full kufoka nimeshafika muda mrefu hapa, dk 0 ikaja V8 nyeusi tiiii. Ikaja kuni block kwa pembeni, jamaa akashusha kioo akasema nifuate.
Asee kila kona tunayokunja ni mijengo ya maana, mitaa mizuriii halafu pako kimyaaa, tukafika mpaka nje ya mjengo mmoja geti kuubwa, lile lango likafunguliwa kwa rimoti tukazama ndani.
Asee ile kuingia ndani nikawa nashangaa shangaa tu hata sielewi, lilikua bonge la jumba, swimming za maana halafu juu ya paa kuna parking ya helicopter, mataa ya barabarani yapo ndani.
Kuna jamaa nahisi aliona shauku yangu, akaniambia "zunguka zunguka uone nyumba ya rais wako ili uende ukasimulie na wenzio" nilizunguka kidogo tu ila maeneo mengi yalikua na makatazo kupita.(nyumba ilikua haijaisha ila ilikua inatisha aseee)
😂😂😂😂Nimecheka sana paka hataki kabisa mazoea na rangi nyeusi. Anakumbuka walichomfanyaMaisha hatufanani..kabisa nimekuja kuona tena kitu kama hicho kwa boss wangu mmoja mzungu nae anapaka wake nyumbani wanabudget kubwa kama laki 4 kwa mwezi isee mapaka manene hadi kutembea yanashindwa..
paka wananunuliwa hadi toy za kuchezea..
Jamaa akaniambia hawa paka waliokotwa kwenye jaa kwanza hawataki mazoea na rangi nyeusi kabisa wakiwaona wanaondoka na yule mzungu alivyo mweu anasema hataki wageni kwake wanawapa stress paka wake..
Nikacheka sana nikasema hao paka wanajua balaa la jua kali huko nje wamekubali kuwa machawa hapa maisha yaende..mzungu aamini hivyo anaamini wale paka wanapata msongo wa mawazo sababu sisi waafrica tuna watisha na kuwapiga ovyo bila sababu.
C wanasema mwenye pesa sio mwenzakoHuyo alikudanganya mkuu, kwanza EWURA hawawezi kutoa kibali na pia OSHA hawawezi wakatoa kibali cha kuweka fuel station kwenye makazi ya mtu.
Paka anawaona rangi nyeusi n mazumbukuku 😂 walimuumiza nafsi na mwili😂😂😂😂Nimecheka sana paka hataki kabisa mazoea na rangi nyeusi. Anakumbuka walichomfanya