Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #41
Hapo hospital hakuna ulinzi?Kuna dogo alikuwa anaumwa si akapelekwa kibaha pale akapewa dripu alikuwa na homa akalala hapo mida flani jioni tukaenda kumchek hosptal hatukumkuta basi tukasubir maybe yuko toilet wap harudi daah lisaa limepita tukawaza kachanganyikiwa labda wacha tumsake mpaka kagiza kanaingiza hatumuoni tukasema turud home maybe karud home daaah kufika home yole dogo aisee karud home na lile limrija na drip lake kalitundika juu ya kitanda bado linaingia aisee maswali kama yote tukamwambia ilikuaje akasema pale wodini wagonjwa wanakufa anawaona kwa macho wamekufa wawili karibu yake akaona anaefuata na yeye akaamua kuondoka ili israel akija asimkute daah huyu dogo wa mia 16 yani
Sijawahi tumia. Maamzi tuKwann
Uhakika. Jamaa mtanashati usipimeShuka la MSD
Hii kawaida aseeNilikuta dressing table na kibao Cha kukunia nazi.
Hii nzuri sanaKama yuko jirani na shule za advance, Hao panya wanalipa sana (Wale weupe), Huenda ni mradi wake baada ya kupata soko la uhakika.
Na sio panya tu, Haddi chura ni biashara nzuri (ya msimu), Maana unakuta unatakiwa kufanya practical (mazoezi) na shule haina panya wala chura.
Arusha iyoolita 70 za mkojo na kinyesi ndoo 6
Kama hujasoma Biology, Advance huwezi tambua hili swala.Yaani una sapport jamaa afuge na chura pia au sio..
Analiwa na anafugwa pia kibiashara | Tazama videoBila kusahau na mende je
Naelewa mkuu vyote hvyo...Kama hujasoma Biology, Advance huwezi tambua hili swala.
Sema we jau kumbe πππππ
Naijua kilugha chetu tu asee
Daaaah hii Dunia hiiSema we jau kumbe πππππ
HahahaaWakuu Hivi ushawahi enda Kwa ndg,jamaa ama msela wako tu ukakutana na kitu ambacho hukutegemea kabisa na ukabaki kujiuliza kilifika fikaje hapa?
Ebu lete kisa chako hapa.
Naanza Mimi......
Nilienda Kwa msela wangu sana yaani yule ambaye unamuita boya fala nk na mnabaki mnacheka tu bila kuonyesha reaction yoyote mbaya.
Nilipofika geto nikaona Kwa kitanda ana shuka la hospital lililoandikwa MSD.
Nikashangaa sana Kisha nikamuuliza oyaah hili zaga lilifikaje hapa?
Akaniambia tulia wewe hujui maisha!! Sikuendelea kumhoji nikabaki na masawali tu.
Mdogo wangu yeye nimewahi kukuta shuka la loudge jipya kabisa zuri na maandishi yake Bado mapya kabisa Wala nae hajali. (Sikuhoji)
Msela angu mwingine nilikuta baiskeli ya waremavu na amejaribu kiti Cha kustarehe kabisaa.
Huko uraini umewahi kukutana na Nini ukabaki na maswali mengi?
View attachment 3158780
Picha zinajieleza ni getoni Kwa msela
View attachment 3158781
Kuna jamaa yangu alikuwa anaagiza simu used online ili kuuza. Zinakujaga na line,dada mmoja wa JF akaja kitutembelea hakuamini.Mimi nilikuta Beseni limejaa Line za simu,sikuuliza za nini.
Hakika wewe ni MSUKUMA.Nilikuta sabuni ya kuogea
Mwanaume unaogaje na sabuni
Duh! NimefurahiWakuu Hivi ushawahi enda Kwa ndg,jamaa ama msela wako tu ukakutana na kitu ambacho hukutegemea kabisa na ukabaki kujiuliza kilifika fikaje hapa?