Ulikuta Nini kwenye Geto la mshikaji wako ukabaki kujiuliza hiki kilifikaje hapa?

Enzi hizo tukiwa tunajiandaa kuingia chuo, nilikuta mhuri wa mtendaji wa kata yetu kwenye geto la jamaa.. nikakumbuka jana yake alienda kwenye hizo ofisi ila hakuwakuta wenyewe πŸ˜€
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Haki nimecheka mimi uwii...!!
 
Mm nilimkuta jamaa ana disc za jembe la trekta kama kumi na tano hivi zipo geto mvunguni
 
Mwizi
 
Unaendaje gheto kwa msela au wewe wa jinsi tofauti? Msela wanakutana kijiweni au bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…