Ulikuwa mwanafunzi wa aina gani katika maisha yako ya shule?

@Chizi Maarifa alikifanyia nini kibaya mbona umemchukia ivyo

Mpe nafasi nyingine mlee mtoto atabadilika
Mkuu mbona unanikomalia sana au umetumwa nini?? Nimeshakwambia clean simfahamu huyo mtu, huwa ananichokoza akitaka attention jukwaani bado unakomaa nimpe nafasi. Narudia tena sio baba wa mtoto wangu au mpaka siku nimtaje baba mtoto ili niwafaidishe??
 
Kuna mwamba mmoja nae tulisoma nae kawachafua balaa,ila wew umetisha darasa moja ukabakiza 11 tu
 
Nilikuwa hustler sana coz nlisoma boarding alaf washua Hela ya matumizi wanatuma mara 1 Kwa mwaka...Mimi ikifika muda wa prepo nazama kijijini kununua madonati nachukua ya tsh 5000 kwa tsh 100 nakuja kuuza shule 300 na usiku huo huo yanakata...hapo nawatoa viongozi donati mbili mbili...hamna kula peke yako!....
 
Sijatumwa shem napenda nikiona mkipatana mnaendana sana

Just think twice trudie
Mkuu mbona unanikomalia sana au umetumwa nini?? Nimeshakwambia clean simfahamu huyo mtu, huwa ananichokoza akitaka attention jukwaani bado unakomaa nimpe nafasi. Narudia tena sio baba wa mtoto wangu au mpaka siku nimtaje baba mtoto ili niwafaidishe??
 
Chai
 
Sijatumwa shem napenda nikiona mkipatana mnaendana sana

Just think twice trudie
Mkuu hii reply ya mwisho kwako, naomba tusikwazane na hivi hatujuani. Kama ni ID nyingine ya huyo Chizi kutaka kiki excuse me. Tunaendeana how unanijua mm hadi useme tunaendana??
 
Chai
 
Ukisikia mwanafunzi mnafiki ndo mimi sasa, tunaweza kubaliana hakuna kwenda prepo alafu usiku tukilala naamka usiku naenda kusoma[emoji23][emoji23][emoji23] nakula msuki balaa

Tukitoka kwenye pepa ukaanza kulalamika mtihani ni mgumu mwana nitaungana na wewe tena nitakunafikia asikwambie mtu. Naweza kukwambia huu mtihan mwalimu akinipendelea sana nina 14% alafu pepa ikija nina 98% au 95% ilikuwa kawaida.

Usije ukajitera ukafanya kosa na mimi, najua kujitetea ahahaha naweza kula stiki tu au nikasamehewa kabisa alafu wew ukafukuzwa shule.

Kiukweli mashuleni kuna watu ukiwaiga unapotea. Watu ni wanafiki sana hata uraiani ikiwemo mimi. Utakavyokuja na mim nitaimba na wewe biti hilo hilo.

Kiukweli unafiki ni mzuri sana na sijui kama nitaacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Nilikuwa mwanafunzi wa kawaida sikuwahi kuwapenda walimu au viongozi wa wanafunzi au wale spy.

Nina moderate akili za darasani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…