*Nilikuwa mpole kiasi, sio muongeaji sana, ila nilikuwa na aibu zaidi ya mtoto wa kike.
*Nikichelewa kuingia darasani siingii mpaka nipate kampani ya washikaji.
*Nilikuwa smart sana kwa mavazi ikitokea siku umeme umekatika na sijapiga pasi basi siendi shule.
*Darasani nilikuwa vizuri ila nilikuwa mtoro sana, kama 4m 4 ilipita miezi mi4 sijaenda shule na home wanajua ila sifatiliwi kutokana nilikuwa nasimamia shughuli za mzee.
*Nilikuwa nawaazima pesa wanafunzi hadi walimu na nilikuwa sina tabia ya kuwadai.
*Nilikuwa MALAYA hakuna mfano, yani ni mwanaume MALAYA kweli kweli. Nilipiga sana wanafunzi wenzangu na walimu wa field.
*Darasani kwetu kulikuwa na wasichana 40 ila katika hao mademu zangu walikuwa 29 ndani ya darasa moja.
*Nilikuwa maarufu sana shule, kufika kidato cha pili nikawa nafahamika shule nzima kwa sifa za umalaya na nilikuwa nafatiliwa sana na wanawake..
Mtanisamehe kwa hizi screenshots zisizo na maana ila hii thread imenikumbusha mbali sanaa.
View attachment 2590367View attachment 2590370View attachment 2590371View attachment 2590372