Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mnafiki na carelessness
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wallah bora wewe unajisema.Mnafiki na carelessness
Sikweli SasaWallah bora wewe unajisema.
Duuuh poleee sanaa dear,Nilikuwa nanyooshewa vidole achaa tuu nilikuwa nachekwaa,baba alivokuja shule nilichapwaa sanaa,mzee alinkamata akachomeka kichwa changu kwenye mguu yake hili nisikukuluke nilipigwaaa hakujali hata kama mimi ni wa kike,hadi maskio yaliziba wiki nzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hila sasa hivi napigwa matukio hadi sio poa[emoji23][emoji23]maisha haya
Nomaaaa sanaaa dada, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Primary
Daftari na zile biki niemchukua hadi namaliza STD 7
Muandika notes ubaoni
Kwenye macho ya wengi nilionekana mpole
Bahati ya kupendwa sana na walimu karibia wote
Popular sana kutokana na ajali iliyoweka uhai wangu kwenye tundu la sindano.
Ibada
Uwezo wa kawaida ila ndo Mungu kama aliamua kuniinua baada ya ile ajali nilianza kukimbiza sana hadi naondoka..Elimu yangu ilikuwa mteremko sana.
Olevel hiyo.
Advance
Mpole mwenye kushirikiana na majasusi ya shule [emoji38]
Nilikuwa nawachajia simu zao maana nilikuwa na access na funguo za sehemu yenye switch.
Tulikubaliana ntawasaidia kuchaji ila mkikamatwa msinitaje kabisa.
Ibada zaidi,yaani chuo na primary ni sehemu niliyomtumikia Mungu zaidi kuliko kipindi chochote.
Elimu yangu ilikuwa na misukosuko.
Popular kwenye baadhi ya masomo na handwriting yangu ilinipa kujulikana.
Chuo
Mpole hivyohivyo
Ibada
Nilipigwa sana matukio na rummate,,ananipiga exile naona na macho yangu.
Nikajifunza ukali.
Handwriting yangu kama kawa ikanipa umaarufu.
Milima ,mabonde,mteremko, Yaani kiuelimu nimepitia vipindi vyote kulingana na semester.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm ndio nlikua sielewek kabsa kwa watoro nipo kwa wenye akil nipo daftar n moja limejkunja ilo kama kitabu cha tiket yote kwa yote nkapata chet [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mputishaji mchanga..kabla ya pambano..nilikua napenda kuona watu wakidundana
Asaante mkuu[emoji1]Duuuh poleee sanaa dear,
Ila life la shulee bhanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asaante mkuu[emoji1]
Wewe unaonekaa ulikuwa muimba kwaya kabla ya kuasi kwako na kuwa Non believer[emoji23] au wale watoto wanaoimbisha kwaya za Ukwata na Casfeta lkn baadae ukawa muasi wa kidini[emoji16][emoji16][emoji16](joke)Nilikuwa sitaki kuonewa.
Nilipiga walimu wawili, mmoja primary, mmoja secondary.
Nilimpiga kibao mtoto wa rais primary kwa sababu alileta mashauzi baba yake rais darasani.
Nilikuwa mtu wa kuwarusha watu kila mtu alinijua.
Siku hizi rafiki zangu wakiniona nimekuwa "model citizen" wanashangaa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Una masihara sana mkuu. Kwa hito ulikuwa unapanda level kwa rushwa?nilikua kilaza, form four nikapiga 0, form 6 napo 0, chuo napo nikadisco
Wewe kwa jinsi unavyojifanya unanijua inaonekana ulitaka kuwa girlfriend wangu.Wewe unaonekaa ulikuwa muimba kwaya kabla ya kuasi kwako na kuwa Non believer[emoji23] au wale watoto wanaoimbisha kwaya za Ukwata na Casfeta lkn baadae ukawa muasi wa kidini[emoji16][emoji16][emoji16](joke)
maana naona vipanga wamejaa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Una masibara sana mkuu. Kwa hito ulikuwa unapanda level kwa rushwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie watu jaman khaaah[emoji16][emoji16]haya namimi niweke zangu
1)Primary[emoji116]
Mpole&mkimya wa shule nzima kiasi kwamba kuna watu hata darasan hawakuwai kuisikia saut yangu, pia shulen hapo wapo walioamini mie bubu mpaka leo wapo ambao wanaamin mim ndie yule yule wa kipindi kile[emoji16], ilifika wakati hata nikimdunda mwanafunzi wenzangu tukipelekwa ofisin lazma aliyedundwa atapewa kesi maana niliaminika kwa upole na ukimya hivyo ugomvi si sehem yangu[emoji16]
[emoji117] Note:- mpka uwe rafiki yangu basi umekidhi vigezo, hata shule nzima lazima ikuverify kwa kuweza kuvumilia kuishi na mtu siku nzima anaongea neno moja tu, nalo ni ule muda wa mchana nikiulizia "leo tunaondoka na njia ipi?"[emoji16]
2)utoro, yaan kuna baadhi ya siku sikuwai gusa shulen haswa ijumaa siku ya vipindi vya dini+michezo hizo siku kwangu ilikuwa ni OFF+Likizo fupi
[emoji16][emoji16]
3)akili kidoogooo kufelii kidoogo
4)mpka namaliza primary sikuwa na marafik wa uhakika zaid zaid ya wale wale niliotoka nao mtaani na kuongozana nao shule, nao wao hawakuwaamin wala kunielewa nilikua na tabia gan, yaan nyumban nakuwa mgomv, mkorof, mpiga kelele, lkn tukivuka tu mipaka na kuingia shule nakuwa mpole+mkimya yaan hata ukiniongelesha neno nitakujibu baada ya masaa uku kazi yangu ikiwa ni kutabasamu na kuguna tuu[emoji23][emoji23]
5) sikuwapenda madem (wasichana) nilikuwa mgomvi sana kwa wasichana, ole wako upangwe dawati moja na mie, utajuta[emoji23]
2)sekondari
1) Ukimya kidoogo, kufeli kwa sana, misifa+kupenda starehe na wanawake kwa sana, lkn bado sikuacha Uhalisia wa ukimya, jambo lililonifanya niweze kuwadate wanawake 4 wa Darasa moja na kampani moja bila ya wao wote kujua, maana nilikuwa mtu wa siri saana, mpka unijue baasi wew nae nishakufanya ujuwe kwa madhumuni yangu
2)kujihusisha na makundi ya utoro uliotukuta, yaan naaga nyumban nikiwa na sale ya shule, maajabu nafika shulen saa4 na kutoroka saa6, sionekan shulen pia sionekan nyumban[emoji23][emoji23]
Nishawai kutokuonekana nyumban lkn shule nipo kwa vipindi vya mapumziko tu[emoji23][emoji23],