proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Mzee ulisaliti chamanilikua domozege, somasoma
bikra yenyewe nilitoa kwa wahaya(shukrani kwake)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee ulisaliti chamanilikua domozege, somasoma
bikra yenyewe nilitoa kwa wahaya(shukrani kwake)
NaiajeMzee ulisaliti chama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo.Mpaka nakaribia kumaliza shule, form five walijua mi six na six walijua mi ni five.
Sikua mtoro ila ni watu watano tu kwa shule nzima ndo walifahamu jina langu halisi.
Sikua kipanga wala sikua kilaza, sikua muongeaji wala mpole sana.
Ilihali nilikua PCM lakini nilishasoma kwenye michepuo yote iliyokuepo pale shule. Kuna watoto wa tukuyu na kyela walikua na kelele sana, so nilikua naingia mara HKL, HGK, EGM CBG n.k, yani nikiona pana utulivu tu mimi humo humo. Na mwalimu akiingia sitoki.
Acha tu rafki angu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo.
Hatareeee sanaa.Acha tu rafki angu
Wa kishua toka kitambo.Nilikuwa sitaki kuonewa.
Nilipiga walimu wawili, mmoja primary, mmoja secondary.
Nilimpiga kibao mtoto wa rais primary kwa sababu alileta mashauzi baba yake rais darasani.
Nilikuwa mtu wa kuwarusha watu kila mtu alinijua.
Siku hizi rafiki zangu wakiniona nimekuwa "model citizen" wanashangaa sana.
watu wa uko wana kelele sana adi darasani kwetu walikuwepo wanakeraMpaka nakaribia kumaliza shule, form five walijua mi six na six walijua mi ni five.
Sikua mtoro ila ni watu watano tu kwa shule nzima ndo walifahamu jina langu halisi.
Sikua kipanga wala sikua kilaza, sikua muongeaji wala mpole sana.
Ilihali nilikua PCM lakini nilishasoma kwenye michepuo yote iliyokuepo pale shule. Kuna watoto wa tukuyu na kyela walikua na kelele sana, so nilikua naingia mara HKL, HGK, EGM CBG n.k, yani nikiona pana utulivu tu mimi humo humo. Na mwalimu akiingia sitoki.
[emoji3][emoji3] pole kama nakuona ulivotamani dunia ipasuke uingie humo ndani? Baada ya assemble maisha yalikuaje waliendelea kukuona mpole[emoji12]Nilikuwa mpole sanaa na msiri sanaa sio muongeaji,tulikuwa tunakatazwa kwenda na simu shule, hilaa mm nilikuwa naenda nayo na hamna mtu anajua hata marafiki zangu walikuwa hawajui,siku ukaja msako wakushtukiza nikakutwa simu hamna mtu alihamini kama mimi nilikuwa na simu....afu mwalimu akawa anasoma msg zangu assemble kila mtu ahaamini kama mimi ndo nimekutwa na hile simu na zile msg zinazosomwa ni mm ndo niliyekuwa naandika acheni aibu ilikuwa sio ya kitoto
nilikuwa maarufu ghafla mzazi akapigiwa simu acha kabisaa hata home walikuwa hawajui kama nina simu kwahiyo ni kasheshe juu ya kasheshe ule mwezi ulikuwa mchungu sana kwangu[emoji3][emoji3] pole kama nakuona ulivotamani dunia ipasuke uingie humo ndani? Baada ya assemble maisha yalikuaje waliendelea kukuona mpole[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila maisha ya shule bhanaa, uwiiihMimi na rafiki yangu tulikuwa tunaitwa miss Corridor. Ilikuwa ikifika saa 2 usiku mwalimu wa zamu akiondoka tuu na sisi prepo imeisha hapo tutaingia kila darasa, hkl,hge,hgk,pgm,egm,hgl. Darasa la hkl tuliita jumba la starehe full kelele.
Humo kazi yetu ilikuwa kuhamasisha kelele tupige stori pia kuchukua vimemo kutoka kwa mchumba kupeleka kwa mchumba. Hapo kwenye vimemo ilikuwa lazima tuweke kituo tufungue tusome kilichoandikwa ndio tufikishe. Inshort nilikuwa mpiga kelele na mbea maarufu. Nikaja kutulia form six baada ya kupenda kwa mara ya kwanza[emoji1][emoji1][emoji1] nikaacha na tabia zote.