Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza?


Utakaribishwa kwny FOREX soon,hahah
 
MI nilikuwa nimemaliza kidato change nne nilitengeneza million moja na nusu toka laki moja na nusu
 
Nilikuwa na miaka 28, nilipata M1 kamili kwa Mara ya Kwanza, ilikuwa zawadi but.
Hope nitazishika nyingine zaidi.
 
Mimi nikiwa nasubiria kupangiwa shule mwaka huu mwezi wa tano hapo nimemaliza four nikagonga 1.2M kupitia forex kilichofata ni maangamizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
21 hapa nilikuwa nimeshainusa M1.7
 
Mie nina hamu ya kushika 100M kwa sasa, mwenye nayo tuchekiane maana hio 1M nilianza kushika nikiwa na 16 years kipindi naeleka benki kulipa Ada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…