Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

Nimuite Kaka mzuri?

Usinijibu Vibaya...Naumwa jino[emoji1787]
 
Daaa point 5 hivii wanipe kids chotaraa weeeee wao sasaaa wanakomaaam lmileleee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwache adeke bana
Nahisi wanaume ambao mama zao hawapo ndio wanadeka sana wanakuwa wanaona wapenzi wao au wake zao ni kama mama zao
Nikikuita my everything ujue namanisha kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…