Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Ngunguri ndio nini Mkuu? Ndio mara kwanza kuona hili nenoMie nilikuwa natamani kuwa ngunguri kwani baba yangu naye alikuwa ngunguri lakini kilicho tokea sio kama vile japo ni familia moja kama ngunguri
Ilikuwaje sasa? Tupo kwenye mchakato wa kuwa Padri au tulibadili gia angani?Nlikuww natamani sana kuwa padri
Dogo maliza kwanza shule ndio utajua furaha inapatikanaje.Bado sijamaliza shule, nasomea ninachokipenda ila kwa sasa, ndoto yangu ni kuwa mtu mwenye furaha.
Na ndicho ulichokuwa unatamani kuwa ulipokuwa mtoto?Bado sijamaliza shule, nasomea ninachokipenda ila kwa sasa, ndoto yangu ni kuwa mtu mwenye furaha.
Nikiwa Primary nilitamani kuwa Mhandishi.Alhamisi inaendaje wakuu?
Tukiwa watoto kuna hili swali huwa tunaulizwa shuleni au hata nyumbani tu, "Fulani ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" Wengine huwa na majibu ya kazi nzuri nzuri na wengine majibu huwaacha hoi wanaosikiliza majibu yao.
Mimi nilikuwa na ndoto za kuwa Daktari, lakini baada ya hesabu na masomo mengine ya sayansi kunipiga roba ya mbao ya hatari nikaachana na ndoto hiyo, sasa nafanya kitu tofauti kabisa na ndoto niliyokuwa nayo.
Wewe ulikuwa na ndoto ya kuwa nani ukiwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au mambo yalikuwa meusi ukafanya mambo mengine?
Nilikuwa na ndoto ya kurusha ndege lakini imeshindikana nimeamua nifuge tu ndege jamii ya kukuAlhamisi inaendaje wakuu?
Tukiwa watoto kuna hili swali huwa tunaulizwa shuleni au hata nyumbani tu, "Fulani ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" Wengine huwa na majibu ya kazi nzuri nzuri na wengine majibu huwaacha hoi wanaosikiliza majibu yao.
Mimi nilikuwa na ndoto za kuwa Daktari, lakini baada ya hesabu na masomo mengine ya sayansi kunipiga roba ya mbao ya hatari nikaachana na ndoto hiyo, sasa nafanya kitu tofauti kabisa na ndoto niliyokuwa nayo.
Wewe ulikuwa na ndoto ya kuwa nani ukiwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au mambo yalikuwa meusi ukafanya mambo mengine?
Hahitaji kumaliza shule bana kuwa na furaha, inabidi ufurahie wakati wote upenyo unapojitokezaDogo maliza kwanza shule ndio utajua furaha inapatikanaje.
Bado unautamani Uhandisi, au imebaki kumbukumbu tu?Nikiwa Primary nilitamani kuwa Mhandishi.
Nilipokuwa O-level hiyo ndoto ilikuwa bado hai, ghafla nikiwa Form 4 upepo ukabadilika na ndogo ya kuwa Mhandishi iliyeyuka
😂😂😂 toka kurusha ndege hadi kufuga ndege, umetisha sana Mkuu, walau umebaki humo humo kwenye ndegeNilikuwa na ndoto ya kurusha ndege lakini imeshindikana nimeamua nifuge tu ndege jamii ya kuku
Nilikua natamani kuwa Askari wa usalama bara barani....,Alhamisi inaendaje wakuu?
Tukiwa watoto kuna hili swali huwa tunaulizwa shuleni au hata nyumbani tu, "Fulani ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" Wengine huwa na majibu ya kazi nzuri nzuri na wengine majibu huwaacha hoi wanaosikiliza majibu yao.
Mimi nilikuwa na ndoto za kuwa Daktari, lakini baada ya hesabu na masomo mengine ya sayansi kunipiga roba ya mbao ya hatari nikaachana na ndoto hiyo, sasa nafanya kitu tofauti kabisa na ndoto niliyokuwa nayo.
Wewe ulikuwa na ndoto ya kuwa nani ukiwa mkubwa? Umeiishi ndoto yako au mambo yalikuwa meusi ukafanya mambo mengine?
Noma sana, muda wa kufikisha ndoto hiyo umeisha au?Nilikua natamani kuwa Askari wa usalama bara barani....,
Sasa nimekua winga
nimetamani vitu vingi sana, sijatuliaNa ndicho ulichokuwa unatamani kuwa ulipokuwa mtoto?