Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

Sikumbuki ni lini niliwahi kuwa na milioni kamili yangu kama yangu ila ninakumbukimbu ya mwaka wa 2010 nikikabidhiwa milioni 5 kash, sikuwahi kushika kiasi kama hicho kabla yake, nilikua mwaminifu wa ile hela japo ikiwa ni ugenini haswa, mwenye kunipa alikua mgeni nami, na mahali aliponipea nilikua mgeni haswa ila nilimaliza kazi nami nikabakiwa na laki na themanini yangu kwa uaminifu mkubwa kabisa.

Kazi yangu inanifanya nakuwa na hela nyingi kuliko uwezo wangi lakini ni za watu , ila falsafa yangu ni uaminifu, nikose mimi apate mwenzangu.
Kazi yangu inanifanya nakuwa na hela nyingi kuliko uwezo wangi lakini ni za watu , ila falsafa yangu ni uaminifu, nikose mimi apate mwenzangu

Kama unakaa nazo ndani ya mwenzi mzima, Zifanyie mzunguko mkuu,
 
• Zuri hii sana hii mkuu, Je bado unaendelea na ufugaji wa kuku? Na walikuwa wa kienyeji au kisasa.

• Ipi changamoto uliipata wakati wa ufugaji wa kuku?
Sio nzuri
1.pesa za kununua kuku nini chanzo
2.pesa za kujenga banda alipata wapi?
3.chakula cha kuku kilitika wapi???
4.chanjo za kuku nani alimlipia?
5. Yeye mwenyewe nani alikuwa anamlisha chakula....alilipiwa????
 
Sio nzuri
1.pesa za kununua kuku nini chanzo
2.pesa za kujenga banda alipata wapi?
3.chakula cha kuku kilitika wapi???
4.chanjo za kuku nani alimlipia?
5. Yeye mwenyewe nani alikuwa anamlisha chakula....alilipiwa????
Ngoja tumuite hapa aje atusaidie, aliazaje kutoka mwanzo, Mkuu Leejay49
 
Sio nzuri
1.pesa za kununua kuku nini chanzo
2.pesa za kujenga banda alipata wapi?
3.chakula cha kuku kilitika wapi???
4.chanjo za kuku nani alimlipia?
5. Yeye mwenyewe nani alikuwa anamlisha chakula....alilipiwa????
Jamani, my dad was my investor kipenzi
 
Back
Top Bottom