Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Ngoja ukifika 40s utajua sababu sasa hivi hata ukiambiwa huwezi kuelewa.Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.
Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?
Je! Huko 30+ ulikosa fursa? Je! Unaweza kufanikiwa kimaisha ukiwa serious kwenye umri huo? Huko nyuma ulipata fursa ukazitumia vibaya, baada ya kufika 40 ndio unaona sasa niwe serious.
Iweke hapa ili na wengine wajifunze.Ngoja ukifika 40s utajua sababu sasa hivi hata ukiambiwa huwezi kuelewa.
Life begin at 40Ngoja ukifika 40s utajua sababu sasa hivi hata ukiambiwa huwezi kuelewa.
Mtu akifanikiwa kidogo anaona wenzake wote hawajui kutafuta fedha, maisha hayajawahi kuwa na fomulaHuyajui maisha. Narudia tena huyajui maisha! Huyajuiiiiiiiii! π
Late 20s nilikuwa nazo. Migodi imekubali. Billions!
Late 30s kila kitu kikakwama yaani kila kitu...nikaponea kwenye vi real estates huko.
Mid 40s ndiyo nimeanza kuuona mwanga tena. Maisha ni mapambano mpaka siku ya mwisho na ukianguka nyanyuka tena kama bado unapumua! π
Mkuu wewe inaonekana kabisa ulianza mapema, unaanguka unainuka, mimi nipo na wale. Wanaanza mipango katika hiyo age.Huyajui maisha. Narudia tena huyajui maisha! Huyajuiiiiiiiii! π