kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Ukishafikisha umri huo....UTAPATA JIBU......Guys kwanini miaka 40? Watu wengi wanakuwa serious wanapofika umri wa miaka 40.
Yaani akishafikisha 40 ndio anaanza kuwa na mikakati, saving, biashara, kujenga etc, ulikuwa wapi huko nyuma?
Je! Huko 30+ ulikosa fursa? Je! Unaweza kufanikiwa kimaisha ukiwa serious kwenye umri huo? Huko nyuma ulipata fursa ukazitumia vibaya, baada ya kufika 40 ndio unaona sasa niwe serious.
Dah 😂Si unaweza kunitumia hata ya baba yako
Wakati wa ujana yaani miaka 18 - 35 ni kipindi ambacho wengi wetu huwa hatujitambui. Tunaona kama vile tunahitaji kufaidi zaidi ya Duniani (anasa) kama ulevi, ngono na mambo mengine yanayofanana na hayo. Sasa ikifika miaka 40 unaanza kuhisi ujana unakukimbia ndio unaanza kuwaza maisha ya uzee. Ili kujilinda na changamoto za uzeeni ndio unakuwa serious kwenye mikakati ya ujenzi, biashara na uwekezaji mbalimbali. Suluhisho ni nini? Wazazi tuchukue nafasi zetu kuwaelewesha watoto kuishi na kukua katika maadili yanayompendeza Mungu na wanadamu pia.Ngoja ukifika 40s utajua sababu sasa hivi hata ukiambiwa huwezi kuelewa.
Mbio mbioKaza buti