Ulilipokea vipi shambulio la JF?

jamani mie tangu jana sikuwa maeneo haya mara paaaaa leo asubuh naingia naona kitu kinaload masaa tele ili bidi nimwendee hewan dada hajar kumuuliza kulikon mbon siingii leo au simu yangu mbovu khee huk sijajibiwa bdo nikamzukia mwifwa looh ndo napewa habri mbaya niliishiwa nguvu jamni mweeeeeeh jf idumu jamni nashukur kwa taarifa dada angu kipenzi Hajar
 
Hahahaaaa. Nikikumbuka nacheka sana sababu sio kwa Viemoj vile vya kutia huruma kiasi kile lol.

Pole sana mdogo wangu. Ila jf idumu tu kwa kweli sababu sijui kuchat Whatsapp hata hakunogi yaani. Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…