Princess qute
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 621
- 552
Yani nimennua bundle jipya nikajua zimeisha MB ila bado nika uninstall JF nikainstall upya bado nikaenda google kutumia browser pigwa na chini na sikupata akili ya kuingia insta kwenye page nikajua kuna nini hangaika weee nane ucku ndo najua ni mtandao dah I'm back [emoji126]Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
Vipi mtaalam wa digital inakuaje JF inakuwa hacked na wewe upo Mshana Jr ?Nimejikuta naifananisha JF na mpenda ngono
Ahsante sana. Na ndio jambo la kushukuru hilo.Daah rafiki pole sana. Kikubwa tunashukuru tu umerejea.
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] kweli jamani kuna mmoja nilichat nae sana DM yaani halafu tunajuana huku nilimuuliza VPN gani anatumia akakataa kata kata kunitajia I'd yake yaan kaniambia nipo mmu sana chit chat na jukwaa la wakubwaHahahahahahahaba yani mule mule
HaaaaTumeudiscuss mwandiko na mzigua mana wote alitutaja kamtaja Jolie, Mama Sabrina yaani bado hatujajua ni nani
PoleeYani hicho ndicho nilichokuwa nakumbana nacho hasira huwa inanishika mpaka simu naichukia
Mbona Jana tulikuwa hewan wazeeee wa vpnKwangu hali ilikua hivi. Yan mara ya kwanza iligoma kabisa. Mara ya pili ikaja kukubali lakini kwenye UNREAD hukuti thread yoyote mpya. Daah nilikua naumia sana.View attachment 756823View attachment 756824
Kijiwe mshenzy jamani ukuje jana tuliona salaam zako mamyHaaaa
HahahaNmekosa siti ya mbele kwenye sredi ya Gudume
Hahaaaa. Lol.Hahaha haya sasa wale mnaotaka namba za hajar mchekini ukhuty huko paulo makonda(pm) yake
Kwa Mara ya kwanza leo ndo nimekaa fb muda mrefu. Hii ni baada ya kuikosa jf [emoji41] [emoji41]Hahaaa. Pale niliamka kufanya ile ibada ya Alfajir nilipomaliza si nikasema ngoja niingie jf nafika nimeandika halafu nikalala nakuja kujaribu mida ya saa mbili naona hali imerudi lol.
Ila pole kwa kuteseka kaka ake.
Hahahaaaa. Pole sana.Kwa Mara ya kwanza leo ndo nimekaa fb muda mrefu. Hii ni baada ya kuikosa jf [emoji41] [emoji41]
mnaposema jf imeshambuliwa siwaelewi maana sijaona msemaji wa jf akisema kuwa mtandao umeshambuliwa! na sio mara ya kwanza hili kujitokeza...Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
Wanakupenda pia shemJana ndo niligundua kuwa naipenda jf kuliko Maelezo. Nilimiss vingi jamani. Jf members, nawapenda sana
Hahaaa. Pale niliamka kufanya ile ibada ya Alfajir nilipomaliza si nikasema ngoja niingie jf nafika nimeandika halafu nikalala nakuja kujaribu mida ya saa mbili naona hali imerudi lol.
Ila pole kwa kuteseka kaka ake.