Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Inakuwaje wanaJamiiForums
Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k.
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au kwa makusudio. Je, uliwahi au ulichelewa?
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata ukiwa na umri gani?