Tuanze na weweInakuwaje wanaJamiiForums
Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k.
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au kwa makusudio. Je, uliwahi au ulichelewa?
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata ukiwa na umri gani?
Inakuwaje wanaJamiiForums
Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k.
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au kwa makusudio. Je, uliwahi au ulichelewa?
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata ukiwa na umri 24
Na Mm hapo hapo namuita demu wangu anisindikize kununua maharage 😂Utatumwa maharage mbele ya demu wako shauri zako.
Mashangazi hawajuagi upendo kwa ndugu