Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
Unahitaji msaada upi kaka msaada wakudum upo hum ndani. Tumesoma shule hii hii sahizi tunafanya yetu bro weka wazi.
Nahitaji msaada wa
kurekebishiwa dish langu angalau nipate chanel za entartainment ambazo
ni FTA nina dish la ft 8 na lnb 2 za ku na c band na receiver ya wiztech
mpeg4 lakini fundi ameishia kupata chanel za msubiji za ipp media na
star tv tu.
Kwa 8ft pf dish unaweza kufunga lnb zaidi ya nne, ukiwa na lnb nzuri ya stargold unaifunga kupata Yamal na Yahsat1A, na lnb zingine 2 za KU unapata Intelsat 20,na NSS 12, zote hizi mwelekeo wa dish unabaki kuwa huo huo unaopatia IPP, STAR TV, TBC, CHNL 10,MOZAMBIQUE,CITIZEN, NK.
Mkuu mi nipo maeneo ya Geita nawezaje kupata hiyo lnb ya stargold?
Mkuu mi nipo maeneo ya Geita nawezaje kupata hiyo lnb ya stargold?
Kwa 8ft pf dish unaweza kufunga lnb zaidi ya nne, ukiwa na lnb nzuri ya stargold unaifunga kupata Yamal na Yahsat1A, na lnb zingine 2 za KU unapata Intelsat 20,na NSS 12, zote hizi mwelekeo wa dish unabaki kuwa huo huo unaopatia IPP, STAR TV, TBC, CHNL 10,MOZAMBIQUE,CITIZEN, NK.
Zinapatikana Mwanza kwa tshs 30,000/= ila nikipata jina la duka nitakujuza kuna jamaa yangu amenunua hivi karibuni. Ila angalizo: lazima upate fundi mzuri na akomae kweli kwani yahsat,nilesat sio zakujifunzia kutega kaka!
3814 v 4213,3862 v 3100
thx. But nmeipata citizen pekee.
Citizen ni mpeg2 na hiyo freq ya kwanza ni mpeg4(Qtv&Ntv),km unatumia mpeg4 na hujapata itakuwa eneo lako unapaswa utumie ft 8
HAWA TBC1 NI "PAY TV AU FTA?"-Tunashuhudia television za Taifa nchi zote zinazotuzunguka,SIGINAL zao zipo juu hata hapa bongo tunawanasa safi kabisa hata kwenye ft6. ITV(super brand) siginal ipo juu tangu tuwafahamu. Tbc ni ya nani? siginal ipo chini na haipatikani, tatizo ni vifaa au mafundi hawana uwezo?WABADILISHE JINA WANAKERA SANA,, "TBC!??.
Imetulia vizuri sana kateka,dish ft 6 rcva srt 4922.,ww uko pande zipi za tz na unatumia rcva aina gani?
Acheni hizo,tunachosema tbc siginal iko chini.WHY IPP?.Sasa mnaanza uko wapi? wapi? mwisho mtatongozana! ifagilieni~
Heshima kaka! Tunazungumzia
QTV & NTV na kumuuliza mtu yuko wapi ni kutaka kujua mahali alipo na
beam ya hizo signal zinamfikia kwakiasi gani ili kukadilia ukubwa wa
dish linalotakiwa mtu atumie! Mfano wewe unalalamikia tbc lakini kwangu
haijawahi kukata hata siku moja,iko clear kabisa. Chamsingi tukumbuke
hapa kunawatu wa rika tofauti,tujaribu kuheshimiana wadau
Now TBC2 AVAILABLE ON SES 5 ON FREQUENCY 11784V25700.