Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Unahitaji msaada upi kaka msaada wakudum upo hum ndani. Tumesoma shule hii hii sahizi tunafanya yetu bro weka wazi.

Nahitaji msaada wa kurekebishiwa dish langu angalau nipate chanel za entartainment ambazo ni FTA nina dish la ft 8 na lnb 2 za ku na c band na receiver ya wiztech mpeg4 lakini fundi ameishia kupata chanel za msubiji za ipp media na star tv tu.
 
Nahitaji msaada wa
kurekebishiwa dish langu angalau nipate chanel za entartainment ambazo
ni FTA nina dish la ft 8 na lnb 2 za ku na c band na receiver ya wiztech
mpeg4 lakini fundi ameishia kupata chanel za msubiji za ipp media na
star tv tu.

Kwa 8ft pf dish unaweza kufunga lnb zaidi ya nne, ukiwa na lnb nzuri ya stargold unaifunga kupata Yamal na Yahsat1A, na lnb zingine 2 za KU unapata Intelsat 20,na NSS 12, zote hizi mwelekeo wa dish unabaki kuwa huo huo unaopatia IPP, STAR TV, TBC, CHNL 10,MOZAMBIQUE,CITIZEN, NK.
 
Mkuu mi nipo maeneo ya Geita nawezaje kupata hiyo lnb ya stargold?
 
Mkuu mi nipo maeneo ya Geita nawezaje kupata hiyo lnb ya stargold?

Kwa sasa hapa Dar sijuhi wapi utapata, ni rahisi sana kuzipata kwa wenzetu Kenya na ndipo nilipoptia yangu mwaka jana mwezi January .
 
Mkuu mi nipo maeneo ya Geita nawezaje kupata hiyo lnb ya stargold?

Zinapatikana Mwanza kwa tshs 30,000/= ila nikipata jina la duka nitakujuza kuna jamaa yangu amenunua hivi karibuni. Ila angalizo: lazima upate fundi mzuri na akomae kweli kwani yahsat,nilesat sio zakujifunzia kutega kaka!
 
Kwa 8ft pf dish unaweza kufunga lnb zaidi ya nne, ukiwa na lnb nzuri ya stargold unaifunga kupata Yamal na Yahsat1A, na lnb zingine 2 za KU unapata Intelsat 20,na NSS 12, zote hizi mwelekeo wa dish unabaki kuwa huo huo unaopatia IPP, STAR TV, TBC, CHNL 10,MOZAMBIQUE,CITIZEN, NK.

Kama sio tabu jaribuni kupost picha ilikutoa mwanga zaidi please. Mim kupitia hum ndani nimeweza kufunga LNB za Dstv 36.0, Aljezira, Emmanuel TV, ya K24 na ile ya Family tv dish ft6 recever wiztech 999. Naomba mwanga juu ya hizo satellite mbili please.
 
Msaada Nnatafuta MPEG4 Receiver Qsat Q13G.Mwenye Nayo naomba ani-PM.
 
Zinapatikana Mwanza kwa tshs 30,000/= ila nikipata jina la duka nitakujuza kuna jamaa yangu amenunua hivi karibuni. Ila angalizo: lazima upate fundi mzuri na akomae kweli kwani yahsat,nilesat sio zakujifunzia kutega kaka!

Nitashukuru sana kaka
 
Citizen ni mpeg2 na hiyo freq ya kwanza ni mpeg4(Qtv&Ntv),km unatumia mpeg4 na hujapata itakuwa eneo lako unapaswa utumie ft 8

nina dish la ft 8 mkuu pia rcva n mpeg4, vp hyo ntv kwako haisumbui?
 
HAWA TBC1 NI "PAY TV AU FTA?"-Tunashuhudia television za Taifa nchi zote zinazotuzunguka,SIGINAL zao zipo juu hata hapa bongo tunawanasa safi kabisa hata kwenye ft6. ITV(super brand) siginal ipo juu tangu tuwafahamu. Tbc ni ya nani? siginal ipo chini na haipatikani, tatizo ni vifaa au mafundi hawana uwezo?WABADILISHE JINA WANAKERA SANA,, "TBC!??.

Ndomaana wengine wanasema TBC1 ni ya CCM wakiona kunamatukio yanayohusisha vyama pinzani ndomajanga kabisa. Sahizi ni Binge sahau kabisa kama itatulia. Wakati wa Binge la Katina wapinzani walipotoka Ilitulia sana sahizi majanga tupu. Huwa najua IPP ndo chaneli za taifa.
 
Imetulia vizuri sana kateka,dish ft 6 rcva srt 4922.,ww uko pande zipi za tz na unatumia rcva aina gani?
 
Last edited by a moderator:
Acheni hizo,tunachosema tbc siginal iko chini.WHY IPP?.Sasa mnaanza uko wapi? wapi? mwisho mtatongozana! ifagilieni~
 
Acheni hizo,tunachosema tbc siginal iko chini.WHY IPP?.Sasa mnaanza uko wapi? wapi? mwisho mtatongozana! ifagilieni~

Heshima kaka! Tunazungumzia QTV & NTV na kumuuliza mtu yuko wapi ni kutaka kujua mahali alipo na beam ya hizo signal zinamfikia kwakiasi gani ili kukadilia ukubwa wa dish linalotakiwa mtu atumie! Mfano wewe unalalamikia tbc lakini kwangu haijawahi kukata hata siku moja,iko clear kabisa. Chamsingi tukumbuke hapa kunawatu wa rika tofauti,tujaribu kuheshimiana wadau
 
Heshima kaka! Tunazungumzia
QTV & NTV na kumuuliza mtu yuko wapi ni kutaka kujua mahali alipo na
beam ya hizo signal zinamfikia kwakiasi gani ili kukadilia ukubwa wa
dish linalotakiwa mtu atumie! Mfano wewe unalalamikia tbc lakini kwangu
haijawahi kukata hata siku moja,iko clear kabisa. Chamsingi tukumbuke
hapa kunawatu wa rika tofauti,tujaribu kuheshimiana wadau

Nice comment...binafsi nimetaja nilipo bila kuulizwa na katika majukwaa yaliyotulia kwa kuwa na wachangiaji makini ni hili no politics Nadhani huyo mdau kakosea jukwaa
 
Now TBC2 AVAILABLE ON SES 5 ON FREQUENCY 11784V25700.
 
Zile LNB kali za Stargold Fuji zinapatikana Mwanza bei ni kama ifuatavyo;

Single elfu 35,double elfu 40 na Quad (Njia nne) ni elfu 65 pia zinapatikana zile za Inverto Flange.

[h=1][/h]
 
Now TBC2 AVAILABLE ON SES 5 ON FREQUENCY 11784V25700.

Naomba pics za lnb arrangement unavyopata yahsat wakati intelsat 906 ikiwa primary.Nataka kujaribu Yahsat Kigoma kwa kutumia ft8 bila kubadilisha uelekea wa zilipo za local.LNB ya stargold tayari nimepata Mwanza.
 
Back
Top Bottom