ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
FUnatumia rciver gani na dish la saizi gani napengine upo pande zawapi kaka.
Natumia dish la futi sita na reseiver aina ya media com MFT-930plus DV3 MPEG 2 NIPO DODOMA
F
Natumia dish la futi sita na reseiver aina ya media com MFT-930plus DV3 MPEG 2 NIPO DODOMA
Sasa Citizen bado ipo ila haiwezekani kushika pamoja na za bongo wameshusha signal yake labda uwe na dish ft8. Ila zote NTV QTV na CITIZEN TV zipo hewani
wakuu naombeni kujuzwa maana kila ikifika saa moja na nusu usiku TVM1,TIM,TVM2 zina scrach sana mpaka ikifika sa 4 usiku inaandika no sign inaenda mpaka sa moja mpaka mbili asubuhi ndo inaonesha tena. Sasa apo tatizo ni nini?
Uko posta,kariakoo au Airpot hayo maeneo yana tabu
Haya sasa TP 11785v27500, SES 5 ipo free kwa sasa, enjoy it while it lasts. CHNL ZA SOUTH AFRICA- SABC1,2,3, eTV,KZN, ONE MUSIC,GOSPEL ...nk.
Ziko tena free leo.
Pia 10972v29700 Citizen,ITV, Clouds TV ziko free kwenye satellite ya Amos @17E
wakuu naombeni kujuzwa maana kila ikifika saa moja na nusu usiku TVM1,TIM,TVM2 zina scrach sana mpaka ikifika sa 4 usiku inaandika no sign inaenda mpaka sa moja mpaka mbili asubuhi ndo inaonesha tena. Sasa apo tatizo ni nini?
nimeingiza fr nikazipata but ghafla zmetoweka, vp bado unazipata?
kama shida yako ni wwe kuna uwezekano wa kupata channel nyingine yenye full wwe kwenye sat w3c 16 deg east ku band
Wakuu kuanzia jana tar 11 kwangu chanel zote zimekata ni kwangu tu au dish langu litakuwa limepata hitilafu?
Labda hitirafu au Anglia waya kutoka kwenye dish mbaka kwenye receiver.
Wakuu ni kweli kuwa ukiwa na dish dogo la Azam au star times na rcva yoyote mpeg4 unapata local chanels for free?