Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Duh mimi mgeni kwenye haya mambo! Natumia king'amuzi cha dish cha startimes....ila channel zake za kiwaki. Je naweza kupata channel nyingine zaidi ya hizi? Kupitia receiver hii hii ....sijui chochote kuusu kuseti dish
 
wakuu naombeni kujuzwa maana kila ikifika saa moja na nusu usiku TVM1,TIM,TVM2 zina scrach sana mpaka ikifika sa 4 usiku inaandika no sign inaenda mpaka sa moja mpaka mbili asubuhi ndo inaonesha tena. Sasa apo tatizo ni nini?
 
Uko posta,kariakoo au Airpot hayo maeneo yana tabu
 
Haya sasa TP 11785v27500, SES 5 ipo free kwa sasa, enjoy it while it lasts. CHNL ZA SOUTH AFRICA- SABC1,2,3, eTV,KZN, ONE MUSIC,GOSPEL ...nk.

Ziko tena free leo.

Pia 10972v29700 Citizen,ITV, Clouds TV ziko free kwenye satellite ya Amos @17E
 
wakuu naombeni kujuzwa maana kila ikifika saa moja na nusu usiku TVM1,TIM,TVM2 zina scrach sana mpaka ikifika sa 4 usiku inaandika no sign inaenda mpaka sa moja mpaka mbili asubuhi ndo inaonesha tena. Sasa apo tatizo ni nini?

Hapo ndugu jaribu kucheza na lnb zichezeshe kidogo au pia waweza kuinua kidogo jeki ili signal ikuwe
 
nimeingiza fr nikazipata but ghafla zmetoweka, vp bado unazipata?

kateka mbona bado zipo mkuu jaribu kucheza na dish lako zitatulia.mimi tangu nizipate situmii tena dish kubwa nakula good time na amos5
 
Last edited by a moderator:
Infinity channels zipo hewani tena baada ya kupotea on Amos5@17 enjoy. Pia guest chanel ya Zuku inaonyesha Fx.
 
Wakuu kuanzia jana tar 11 kwangu chanel zote zimekata ni kwangu tu au dish langu litakuwa limepata hitilafu?
 
Wakuu ni kweli kuwa ukiwa na dish dogo la Azam au star times na rcva yoyote mpeg4 unapata local chanels for free?
 
Back
Top Bottom