Ulimwengu wa FTA Satellite TVs


Kwa ku sidhani labda c band, channel 10 walikuwepo 70.4e fta lakini sasa hivi inaonesha black screen tu
 
Wanaotaka epl na wenye MPEG 4 receiver wanicheki 0712038088 na kama upo Dar basi jmos nakuwa free tunaweza fanya kazi
 
Kwanini Chanel za IPP media hapa kwangu zinapatikana mchana tu?
 
Nifanye nini kuondoa hilo tatizo maana star TV imetulia mno
 
Msaada tafadhar.... Nina king'amuzi cha startimes lakin natumia dish za zaman decoder ya strong, je naweza unganisha king'amuz cha startimes kwa kutumia hili dishi?
 
Jamani wana jf mimi natumia king'amuzi cha q-sat 11nilikuwa naomba msaada wa jinsi yakutumia iptv
 
Nasikia continental imerudi hewani kwenye ABS 3 @3W please confirm mi nimesafiri kidogo na vipi kuhusu sauti na picha ku freeze bado lipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…