Natumia Continental decoder baada ya satellite ya amos 5 kupotea nimeshindwa kuona chochote, nauliza je naweza kuangalia tv za nyumbani kupitia satellite nyingine? Shida yangu tu ni taarifa ya habari ya saa 2 usiku na bbc dira ya dunia saa 3 usiku.
NB: Hiki king'amzi kwenye listi ya satellite zipo nyingi zaidi ya kumi zimeorodhesha pale. Naombeni msaada wenu tafadhali.
Kwa ku sidhani labda c band, channel 10 walikuwepo 70.4e fta lakini sasa hivi inaonesha black screen tu