Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Hii km unatumia ungo wa ft6 utaipata vizuri channels maarufu hapo ni mult tv maarufu tv 3 Ghana mf mimi nina ungo ft6 nimefunga lnb4 pamoja main ikiwa ni irib iliyopo arabsat ktk cband,Continental iliyoko Amos5,movie combo za ses5 pamoja na hiyo mult tv iliyoko Astra2f@28 nakuwekea picha ya dish langu

Hello
Asante sana kwa kutoa utaalam wako.
Location yako ni ipi? Kwa hapa Dar nimeshindwa kuipata Astra2f@ 28 kwa dish la 6ft na hata 8ft. Kuna mtaalam yeyote aliyefanikiwa kuipata hiyo satellite ya Astra kwa hapa Dar.
 
Jamani mi naombeni msaada wa kupata hz tv za kenya niiwekeje hii lnb ya ku na nitumie sat gan. Za local zote nazipata natumia dish ft6.
 
Kaka subi sorry nilipoteza. Simu naomba Namba yko Simu kuna watu wanataka bidhaa zako me ni rafiki. Yko wa mabibo. Sokoni
 
ImageUploadedByJamiiForums1420780564.982556.jpg
 
naomba msaada juzi nimenunua account ya tv1 cccam niweke kwenye decoder ya strong srt 4922 lakini disconnect hai connect naitaji ujuzi kwahili
 
naomba msaada juzi nimenunua account ya tv1 cccam niweke kwenye decoder ya strong srt 4922 lakini disconnect hai connect naitaji ujuzi kwahili

Umeingiza s/w mpya kwa ajili ya hiyo Cccam.
Maeneo ulipo yana 3G
Modemu nzuri E 303
Uki unaconnect acha kwa muda hewani
Pic nmeshindwa ingiza hapa za mlolongo mzima natumia simu
Zaidi mcheki Mwl.
 
Mkuu @Arselona
Nashukuru kwa uszi wako huu, nimepitia mjadaa wa wadau kwa muda sana ila sikuweza kutatua tatizo langu, kama una ujuzi tafahdhali nisaidie katika hli.
ninatumia mpeg4 decorder nimefunga dish la ft6 C band, nilikua interested na satelite ya Amos 5, nimeweza kupata chanel zilizopo kwenye continental decoder ila changamoto ni kua zinagandaganda sauti na picha yaani huwezi kusikia vizuri kinachozungumzwa.. Je tatizo laweza kua nini??, ni chanel gani nyingine naweza kuzipata kupitia hii amos 5 ukiacha hizi za continetal

ahsante sana
 
mkuu inategemea na aina ya decoda unayotumia, mimi natumia strong4922 sina shida hizo kabisa
 
Ilisolokobwe mimi natumia best hd 4u

Nimetumia besthd 4u ila sijapendezwa nayo maana kwanza inachelewesha kuleta picha na wakati picha ishaanza kuonesha sauti haiji na huo ni upande wa Eutelsat 36A pili

Nisijue hilo tatizo lako kama liko associated na Software ya decoder au basi huenda pia hilo dish lako au LNB ya Amos5 haujaweza Kuli balance vizuri ndo maana unapata scratches nyingi

Kama umejaribu kwa receiver ingine matokeo yako vile vile basi ni swala la dish/LNB la sivyo basi software na hardware components za receiver sio nzuri maana mm nimeona receiver moja nikiweka kwenye Dish langu inaonesha baada ya mda inasema WEAK SIGNAL kwa channel zote bila kuwepo na upepo wala mvua wakati huo huo nikiweka nyingine haileti hilo swala
 
Last edited by a moderator:
msaada nimepoteza signal kwenye decoder ya dstv.. dish limepoteza uelekeo kidogo nawezaje..kutatua hili..
 
Ahsante njunwa wamavoko, nilijaribu hii kreceiver pia kwenye dish jingine ikawa na tatizo hilihilo, ila jamaa alikua na qsat23 alipoweka haikua inakwamakwama, nawezaje kupata software upgrade ya hii kitu
 
Last edited by a moderator:
Ahsante njunwa wamavoko, nilijaribu hii kreceiver pia kwenye dish jingine ikawa na tatizo hilihilo, ila jamaa alikua na qsat23 alipoweka haikua inakwamakwama, nawezaje kupata software upgrade ya hii kitu

receiver nyingi hata ukiweka software kama ilikuwa na tatizo la kustuck sauti bado litaendelea, mfano mzuri ni wiztech8035 ki kimeo cha mwisho kilinitesa mpaka basi hata nilipoweka software hakikubadilika
 
Last edited by a moderator:
Ni sahihi maana hapo ni mambo mawili...
Either ni Software problem ambayo ni rahisi ku fix ila Hardware problem hiyo ni issue
 
Ni sahihi maana hapo ni mambo mawili...
Either ni Software problem ambayo ni rahisi ku fix ila Hardware problem hiyo ni issue
Mkuu njunwa naomba link ya kupata Application ya kutumia simu ya android kama remote kwenye q sat. Natanguliza shurani.
 
Wana jamii tech naomha naomba mnijulishe tafadhali.channel ipi inayoonyesha mieleka hata kama niyakulipiq
 
Back
Top Bottom