Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

...Nyie itakuwa wakishua tuu!, ukiwa masikini inatakiwa uwachekee watu wengi ili ule,

Sasa huo u-introvert kwa sisi masikini haupo
Tunapata shida kutengeneza new friends... kiufupi tuna cycle ndogo ya marafiki au watu ...hebu fikiria kuhusu wale watu wenye abnormalities kama vile vipofu au vilema wengi wao lazima waangukie katika kundi hili sema wewe hayajakukuta ..una kaa ukijua tu kuwa watu tupo sawa wakati Kuna wenzetu wamekutwa na majanga ambayo Yana wafanya washindwe hata kuinteract
 
Mvuta bangi katokea wapi huyu

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
...mkuu sijui kinge, em nitafasirie hayo maneno umeandika kwa kinge
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na mm ni introvert nikipata mwenza alietulia itakuwa safi
 
Sema introvert wengi sio wapende kelele yaani ghasia za binadam

Wazee wa utulivu
Sasa hiyo ni shida Sana kimahusiano.
 
Wanawake kimahusiano kama wana tabia moja, ya kuringa. Kwasababu kiasili wanaume ndiyo tunaowafuatafuata ili watukubalie, hali hii ya kuwafuatafuata ndiyo inayofanya wawe na nyodo, kujiona lulu, kiburi na dharau. Introverts tunapata shida kabisa kwenye kutongoza wanawake, introverts tunatumia nguvu nyingi kutongoza.

Wanawake wakigundua kwamba huyu anayenitongoza ni introvert, anaanza visa, mara achelewe kujibu meseji, hapokei simu, anaongea kama hataki kuongea na wewe, anakuzimia simu kwa makusudi, anakua mkali, anakublock, hajibu kabisa meseji, na maudhi mengine mengi.

Kwa maudhi hayo ya wanawake kwa introverts, introverts tunateseka sana kwenye mahusiano.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…