Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

...Nyie itakuwa wakishua tuu!, ukiwa masikini inatakiwa uwachekee watu wengi ili ule,

Sasa huo u-introvert kwa sisi masikini haupo
Tunapata shida kutengeneza new friends... kiufupi tuna cycle ndogo ya marafiki au watu ...hebu fikiria kuhusu wale watu wenye abnormalities kama vile vipofu au vilema wengi wao lazima waangukie katika kundi hili sema wewe hayajakukuta ..una kaa ukijua tu kuwa watu tupo sawa wakati Kuna wenzetu wamekutwa na majanga ambayo Yana wafanya washindwe hata kuinteract
 
Kwaufupi hamna cha introvert wala nn

Wengi wenu mnajistukiaa tu +madome zege .

Akiwa demu anakua hajiamin kwa mwonekano wa umbo nahata sura yake.


Akiwa Me pia, anakua hajiamin. Hana pesa ,labda kazi bado. Hajiamin kiumuonekane n.k



SASA MNAKUJA KUSINGIZIA INTUROVETI.....HAMNA CHA UINTUTOVETI WALA CHA BIBI YAKE

NIHAYO TU [emoji23]
Mvuta bangi katokea wapi huyu

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
...mkuu sijui kinge, em nitafasirie hayo maneno umeandika kwa kinge
 
Kuna mtu alinambia hivi "luckyline wewe ni burudani tosha hata kama mtu hana tv wewe ndani unatosha.[emoji23][emoji23][emoji23]

Nawaza familiya ambayo mwanaume ni introvert na mwanamke introvert wanaishi vipi? Utajuaje huyu leo hana mood?

Kuna shemeji yangu ni mkimya saaaaaana ila dada anatuambia eti anaongea. Kuna siku alicheka mpaka nikauliza shem na wewe unachekaga?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habarini Wana Jamii forum .
Siku ya leo nimeona nijikite katika kutoa ya moyoni , kubwa zaidi ntaangazia kundi la watu ambao hujulikana kama introvert na mahusiano ambayo hujihusisha na namna zake
Kwa kuanza kabisa mimi ni introvert wa kutupwa , linapofika swala la mahusiano kwa kweli sinaga vitu vingi vya kuongea na marafiki zangu wengi wamekuwa wakiniambia Mimi ni msiri sana hivyo kutoweza kuwaambia wenzangu mtu ambae nipo nae kwenye mahusiano

Hivyo
Na mm ni introvert nikipata mwenza alietulia itakuwa safi
 
Sema introvert wengi sio wapende kelele yaani ghasia za binadam

Wazee wa utulivu
Sasa hiyo ni shida Sana kimahusiano.
 
Wanawake kimahusiano kama wana tabia moja, ya kuringa. Kwasababu kiasili wanaume ndiyo tunaowafuatafuata ili watukubalie, hali hii ya kuwafuatafuata ndiyo inayofanya wawe na nyodo, kujiona lulu, kiburi na dharau. Introverts tunapata shida kabisa kwenye kutongoza wanawake, introverts tunatumia nguvu nyingi kutongoza.

Wanawake wakigundua kwamba huyu anayenitongoza ni introvert, anaanza visa, mara achelewe kujibu meseji, hapokei simu, anaongea kama hataki kuongea na wewe, anakuzimia simu kwa makusudi, anakua mkali, anakublock, hajibu kabisa meseji, na maudhi mengine mengi.

Kwa maudhi hayo ya wanawake kwa introverts, introverts tunateseka sana kwenye mahusiano.
 
Kwenye maisha ya wawili ,unawezakuwa na agenda nzuri imepangika vizuri ila kuiwasilisha inakuaga mtihani.Hali hii hupelekea kuto kuelewana hasa kama una mwenza ambaye ni extrovert.
Kuna muda unatamani kuwasilisha hoja kwa maandishi[emoji18]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom