Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

Usisahau pia Kuna wanawake introverts..ambao extrovert wanapata nao shida sana kwa sababu ni wasir na wakimya huficha vitu vingi
 
Kwani wanawake wenyewe wanasemaje?,,
Wanapenda mwanaume anaeongeaa Sana au asiye na maneno mengi?
 
Tupo bize sana kwenye kuchati ila sio kuongea mi hata mpenzi akinipia simu natamani aende moja kwa moja kwenye point sio kunipisha story maana naona ni makelele tu. Nitaongea nikiwa nshapiga bia kama tatu hivi.
 
Kwamba introvert akipewa bia tatu au akilewa anabadilika anakuwa extrovert ...hii kali
 
Introverts mnashauliwa angalau kupiga bia mbil au tatu Ili ku boost maongezi mbele za watu
 
What the meaning behind?
No meaning,,, huwa ni kawaida sana mm kujiuliza maswali ambayo yanaweza kuonekana ya ajabu ,,,,mfano nshawah kujiuliza
1.kwa nn makao makuu ya voda na airtel yamekaribiana? Na urefu wa zile ghorofa unaendana

2.N kwa nn voda walibadilishaga kale kanembo ka mduara walikokua wanatumia zaman?

3.Kwa nn tanzania hakuna kampuni lingne linalouza umeme tofauti na Tanesco?

4.kwa nn IST new model haijafanya vizuri sokoni ukilinganisha na previous model?

5.Kila sku naskia kuna wajanja wamepiga pesa mara bandarini, mara kwny mafuta, mara hifadhi. Hua najiuliza nifanyeje na mm nipate hzo connection?

6. Yaan all the time my head is busy talking to myself!!!

7.Kama kusex ni dhambi, kwa nn tunabalehe kabla ya ndoa?

8.kwa nn taa za nyuma za noah zpo kwny mlango wa boot na sio kwny main body ya gari lenyewe?[emoji848][emoji848]
 
Here we go again. Nyuzi za introverts zipo kibao hapa jukwani mnajaza servers za JF bure tu.

Kila mtu ni introverts siku hizi extroverts wote wamepotea hawapo tena dunia ya leo.



 
Kuna mda nawaza labda nipate mtu wa race nyingine ndo naweza nikawa serious

Sema tu maisha yamekupiga unataka bibi wa kizungu akutoe ๐Ÿคฃ

Ukiwa na race nyingine ndo dawa ya introversion? Mawazo ya negros ni ya ajabu sana

Tafuta hela kijana hutowaza haya mambo ya madent wa secondary sijui introversion/extroversion.
 
Sema tu maisha yamekupiga unataka bibi wa kizungu akutoe [emoji1787]

Ukiwa na race nyingine ndo dawa ya introversion? Mawazo ya negros ni ya ajabu sana

Tafuta hela kijana hutowaza haya mambo ya madent wa secondary sijui introversion/extroversion.
Mawazo yako ni ya kawaida sana .. wewe ndo kujikuta unawaza nini ..watu weusi shida zao ndo hizo heshimu mawazo ya mwenzako ..wewe umefanya la maana lipi mpaka saizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ