Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

Hutumika katika mengi sana ya shari na kuwafunga wengine
 
Someeni maiti zenu suratul yaasin na msimuache maiti pake yake ndani ya chumba chake na msimuache maiti katika kiza washa mshumaa ndani ya chumba cha maiti na katika kumuosha karafuu maiti iwe ya kutosha bila kusahau Dua
 
hii mada bado inapaa...
Duh, kweli wajinga wengi sana hii nchi....
Kama unamchukia mtu na mada zake nmejiuliza kutokana nilichokisoma kwako ni kua umerudi kwa mara nyingine kufatilia kama Bado kinaendelea kinachozungumzwa, Sasa nimepata shida kwamba kama mtu hupendi kusoma jambo Fulani kutoka kwa mtu unayemchukia, critically thinking why you still end up in his presence
 
Unaweza kunitumia ujumbe kwa kukueleza zaidi
mkuu nitashukuru sana ukinieleza zaidi hayo niliyouliza na mengine yoyote kunihusu mimi kwa jinsi utakavyoona yananifaa na yatakuwa msaada mzuri kwangu..unaweza pia kueleza hapa kama ni elimu ya kiroho yenye faida kwa wengi kujifunza na kuongeza maarifa..na kama ni kunihusu mimi binafsi nakuomba unisaidie kule gumzo la kibinafsi PM..nimekupa IDHINI nipe msaada kwa lolote lenye manufaa kwangu kwani naamini waalimu wako wana uwezo wa kukwambia vingi kuhusu mtu yeyote na popote nini kinaendelea kwake na kumsaidia mkipenda.,hio ni kwa jinsi tuliokusoma humu toka mwanzo..nakutumia ujumbe kule gumzo la kibinafsi kwa marejeo..natanguliza shukrani za dhati.Asante
 
shukran za dhati ndio nin??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…