Hii ya mufindi?Au..
Mh mwanakwetu kwa hiyo hawa maarufu umemaliza, Beyonce, Wema, Kim Kardashian n.k? Hebu niazime hiyo silaha 😀siku bishii mkuu mimwenyewe najionea maajabu .mi nawala mademu kihisia yaani ,hata awe nani ,na utamu anaopata yeye na ndo utamu naopata mimi na kumwaga wanamwaga kama kawa kitu ambacho napata usumbufu mkubwa maana wanawake wanaambiana ,nikiwa na demu hata kabla sija mshika anakojoa.mara ya kwanza hali hii niliiona ya ajabu lakini sasa shazoea,na inabidi uwe mkali kidogo kwa wanawake maana wanakuchukulia dildo hahaha utamu naupata bila hela bila chochote na saa yeyote na usiniambe ni majini mahaba maana majini mahaba ni wandotoni.hahaha
We ni muongo kuwahi narudia tena wew ni MUONGO KUWAHI KUMSHUHUDIA HAPA TANGU NIJITAMBUEWatu wanashangaa uhusiano wa majini na bin-adam. Mie binafsi nimezaa watoto wawili na mwanamke wa kijini.
Ilianza kama ndoto ila mwisho wa siku akawa anakuja live kabisa. Kiufupi kwa sasa ni miaka imepita nimetenganishwa nae.
Na kama kuna mwenye elimu ya kukosoa au kuthibitisha ninalosema basi aje hapa hapa nitampa maelekezo anayotaka hata ikiwa jina ili athibitishe kama ni kweli au natania.
Kwahio tufanyaje..au tuambie ukweli wako wewe ulie mtaalam wa yoteWe ni muongo kuwahi narudia tena wew ni MUONGO KUWAHI KUMSHUHUDIA HAPA TANGU NIJITAMBUE
Sio majini wote ni Waislamu,Uislamu sio dini ya majini bali ni ya Allah na si nasikia hata kanisani watu wenye majini wanapona vipi na huko ni dini ya majini au?Majini ni waislamu hiyo haina ubishi, uislam ni dini ya majini, pia kama una majini ukitafuta mganga muislam unapona kabisa
Njoo inboxMkuu Buraq Mustapha au yeyote mwenye kujua, kuna member aliwahi kuelezea kitu flani kuhusu kusafisha mwili kama ulilishwa vitu vya ajabu na kuongeza nguvu kiroho njia yake ni mfungo wa kula matunda tu kwa siku saba
Je ni kweli? Na pia kuna njia nyingine yoyote ya ukuaji kiroho yaani kuwa na nguvu nyingi za kiroho?)(Tuachane na meditation maana wengine imetushinda)
Yeyote mwenye kujua elimu tafadhali ninakuomba unijuze, naimani wengine watajifunza mawili matatu
Buraq Mustaphaيا حنانو يا منانو يا ضيانو يا حضرة سليمان عليه السلام بيهقي حضرة مهري يا حضرة سليمان توكل يا أمير أبو شفان صاحب الجبل وبيهق ....