Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

Waalaykumusalam warahmatullah kwema uzima upo?
Haya ilivyo ni kuwa uhusiano wa majini wema walioamini uwepo wa Mungu na binaadamu hauna shaka.
Isipokuwa tuu uhusiano huo uwe ni kuelezana yaliyo na heri .
Baadhi ya dini kuwachukulia majini ni viumbe vya ajabu ajabu ni kukosa tuu taaluma sahihi na kukosa kuujua ulimwengu wa roho na kukosa kujua ukubwa wa Mungu katika kuumba.
Bila shaka nimekujibu.
Shukrani
Asante sana. Umenijibu, nimeridhika mkuu. Uzima upo shekh.

Hapa sitoki nipate elim hii adhim. Nitafatilia hadi mwisho, ila usikatishe njiani nakusihi sana.
 
Wenzetu waliowatumia hawa viumbe wapo mbali kiteknolojia, sisi tunaendelea kuaminishwa upuuzi upuuzi tu. Lazima tutafute elimu hii wenyewe kwa kusaidiwa na wenzetu wenye nayo tayari akina Black nyeti, Buraq Mustapha... Tutapata masuluhisho kadha wa kadha katika mambo yetu ya kiafya, kiugunduzi, kiuchumi, n.k
Watakuwa wametusaidia pakubwa sana, wabarikiwe
 
Mkuu Buraq Mustapha au yeyote mwenye kujua, kuna member aliwahi kuelezea kitu flani kuhusu kusafisha mwili kama ulilishwa vitu vya ajabu na kuongeza nguvu kiroho njia yake ni mfungo wa kula matunda tu kwa siku saba

Je ni kweli? Na pia kuna njia nyingine yoyote ya ukuaji kiroho yaani kuwa na nguvu nyingi za kiroho?)(Tuachane na meditation maana wengine imetushinda)

Yeyote mwenye kujua elimu tafadhali ninakuomba unijuze, naimani wengine watajifunza mawili matatu
 
Buraq anajua ngoja aje.
 
Wenzetu waliowatumia hawa viumbe wapo mbali kiteknolojia, sisi tunaendelea kuaminishwa upuuzi upuuzi tu. Lazima tutafute elimu hii wenyewe kwa kusaidiwa na wenzetu wenye nayo tayari akina Black nyeti, Buraq Mustapha... Tutapata masuluhisho kadha wa kadha katika mambo yetu ya kiafya, kiugunduzi, kiuchumi, n.k
hahahahahahahaha.... Aseeee kumbe mumeshajua watu tuna majini huku kwet!!? Ila ni kwel wanafaida hapa ukiwa deep nao san yan kuna wakat najua kabis kwamb kweny mwili wangu kuna kama mfano wa roho mbili ambap nawez nikaongea na nafsi yang pamoj na nafs nyingn iliyop mwilin wang kwa wakat mmoja tukaw kam tunapga story na uzur ni wakike.
 
Tafadhali mkuu naomba uelezee kwa urahisi, wengine vichwa ni vigumu kuelewa haraka

Pia imekuajekuaje ukawa hivyo? Just curious
 
Mkuu Buraq Mustapha au yeyote mwenye kujua, kuna member aliwahi kuelezea kitu flani kuhusu kusafisha mwili kama ulilishwa vitu vya ajabu na kuongeza nguvu kiroho njia yake ni mfungo wa kula matunda tu kwa siku saba

Je ni kweli? Na pia kuna njia nyingine yoyote ya ukuaji kiroho yaani kuwa na nguvu nyingi za kiroho?)(Tuachane na meditation maana wengine imetushinda)

Yeyote mwenye kujua elimu tafadhali ninakuomba unijuze, naimani wengine watajifunza mawili matatu
mbona rahisi tu mkuu kunywa mkojo wa mwanamke bikra.
 
Tafadhali mkuu naomba uelezee kwa urahisi, wengine vichwa ni vigumu kuelewa haraka

Pia imekuajekuaje ukawa hivyo? Just curious
yani kwa ufup ni kwamb ndani ya mwili wangu nina utambuz wa hali ya juu sana ambao kwa nawez sema nina uwezo wa kuwa katika dunia mbili tofauti kwa wakat mmoja yani kuwa katika ulimwengu wa kiroho pamoja na kuwa katik ulimwengu wa kawaida huu wa nyama na kote nikajua kwa wakat mmoja kinachotendka huku dunian na kinachotendka katik ulimweng wa kiroho bila hata ya kufanya astral projection
 
Duuh hivi hizi elimu huwa mnazipataje asee? Daah hii ni noma mkuu, Respect
 
Back
Top Bottom