Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,016
Tawilehaya maneno alikuwa ayaongee dada yak ila kwa vile umeamua kuubeba udada ndani yako sawa mimi sin shda na nitakulawiti shaul yak wew tembez tu kitobo hko uone show yak...
Tawilehaya maneno alikuwa ayaongee dada yak ila kwa vile umeamua kuubeba udada ndani yako sawa mimi sin shda na nitakulawiti shaul yak wew tembez tu kitobo hko uone show yak...
ukitak ku explience mkuu mbona inawezekan tu but ina chukua mda mrefu san wa kama miaka hat 7 na kuendlea mana hii kdogo ni ngumu kwa upand mwingne ila ndo iko hvyoDuuh hivi hizi elimu huwa mnazipataje asee? Daah hii ni noma mkuu, Respect
Na hii pia natumia dawa za majini au kuna njia tofauti ya kufanya bila ya kutumia dawa?ukitak ku explience mkuu mbona inawezekan tu but ina chukua mda mrefu san wa kama miaka hat 7 na kuendlea mana hii kdogo ni ngumu kwa upand mwingne ila ndo iko hvyo
mukielezwa ukwel munadai kuwa ni uhuni na ndo mana mim wala hujaniona nikiangaik kukuelewesh sabab hat nikikuelewesh huwez elew chochot ndo mana tunaamua kukaa kimya tuMuuni uyo....
hakuna short kati ya hili jambo mkuu kikubwa meditation ya kuactivate chakra zako zote na ziwe katika balance hcho ndo cha kwanz kufany mkuuNa hii pia natumia dawa za majini au kuna njia tofauti ya kufanya bila ya kutumia dawa?
Mkuu toa maarifa, wengine tunajifunza na kuchota tunayoona yanafaamukielezwa ukwel munadai kuwa ni uhuni na ndo mana mim wala hujaniona nikiangaik kukuelewesh sabab hat nikikuelewesh huwez elew chochot ndo mana tunaamua kukaa kimya tu
Sema nini mkuu hii medication wengine imeshatushinda aseehakuna short kati ya hili jambo mkuu kikubwa meditation ya kuactivate chakra zako zote na ziwe katika balance hcho ndo cha kwanz kufany mkuu
chakra zipo zaidi ya tisa ila ni kwa vile tu kwa wanaoanza watakutana na chakra 7 yani mfan kama unavokuwa shule ya msingi kwa sayansi una lisoma kama somo moja lakin ukienda sekondari unakut somo lile lile la sayansi limegawanyik katik physcs, chemistry, biology na pia ndo ilivyo kweny chakra kadri unavyopanda ndo unazid kukutan na chakra nyingne zaid katik level za juu kwahy chakra zpo nyingi mkuu.Sema nini mkuu hii medication wengine imeshatushinda asee
Pia chakra zipo 7 au 9 maana hapa pananichanganya
Mkuu toa maarifa, wengine tunajifunza na kuchota tunayoona yanafaa
Kama wanaona ni ujinga sawa ni wao ila sisi wengine tupo kujifunza ya ulimwengu
😂😂 Daah inaonekana nina safari ndeeeeefuuuu sana aseechakra zipo zaidi ya tisa ila ni kwa vile tu kwa wanaoanza watakutana na chakra 7 yani mfan kama unavokuwa shule ya msingi kwa sayansi una lisoma kama somo moja lakin ukienda sekondari unakut somo lile lile la sayansi limegawanyik katik physcs, chemistry, biology na pia ndo ilivyo kweny chakra kadri unavyopanda ndo unazid kukutan na chakra nyingne zaid katik level za juu kwahy chakra zpo nyingi mkuu.
Hivi na wewe ni jini simji tokeze live mbona unataka kumfuata ndotoni au mnaogopa nini.kama unavyolawitiwaga na babako maku we
Pameshaharibika hapa na nilifahamu Hilo kutokea, wameshakuja wapuuzi kuharibu kwa makusudi maalum... sitegemei kama atamaliza.Asante sana. Umenijibu, nimeridhika mkuu. Uzima upo shekh.
Hapa sitoki nipate elim hii adhim. Nitafatilia hadi mwisho, ila usikatishe njiani nakusihi sana.
Halafu huyo ni joined Monday..hapo nadhan ushaelewa.Wewe umewahi kuwaona? Wakakung'ang'ania?
Acha mwenye uzi wake aendelee kuleta story, acha kuharibu nyuzi za watu.
Kama kuna kitu unafahamu anzisha uzi tutasoma tu.