Black nyeti
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 692
- 1,131
kumbe ni story tu haaa!! UnconsiciousHiyo ni story ya jamaa mmoja anasema yeye ni ukoo wa Simba, alikuwa anapendwa na huyo Jin mkuubwa sana mwenye nguvu kuliko majini wengi anaitwa ARSIS, msome humu yumo JF.
Ukienda kwenye JF search uka type Arsis utauona uzi unaitwa " "niliyoyaona baada ya kufunguliwa macho"